Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Ndio maana amekwambia ni jambo personal,Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Lakini ili kujua kwamba unacho kiamini ni kweli kipo lazima utoe uthibitisho ili tuhakikishe.
Alijithibitisha lini?Ndio maana amekwambia ni jambo personal,
Yeye binafsi alishajithibitishia, hivyo wewe kuita ni imani ya uongo haibadili kitu chochote kwake
Lazima uelezee huyo mbwa ulikutana naye wapi?Mimi nkikutana na mbwa mwenye miguu nane nkaja kuieleza jamii nmekutana na mbwa mwenye miguu nane hata wakatae ikiwezekana kuniua kabisa haitobadili ukweli kuwa nlikutana na mbwa wa miguu nane
Soma upya maelezo yangu utanielewa.Alijithibitisha lini?
Tarehe ngapi?
Mwezi gani?
Mwaka gani?
Na muda gani exactly?
Lazima uelezee huyo mbwa ulikutana naye wapi?
Lini? Tarehe ipi? Mwezi upi? Mwaka upi?
Na muda upi exactly uliokutana na huyo mbwa?
Hujibu ulicho ulizwa, unajibu usivyo ulizwa.Soma upya maelezo yangu utanielewa.
Jambo personal mtu anaweza ku hallucinate akaona kitu ambacho hakipo kipo.Ndio maana amekwambia ni jambo personal,
Yeye binafsi alishajithibitishia, hivyo wewe kuita ni imani ya uongo haibadili kitu chochote kwake
Mimi nkikutana na mbwa mwenye miguu nane nkaja kuieleza jamii nmekutana na mbwa mwenye miguu nane hata wakatae ikiwezekana kuniua kabisa haitobadili ukweli kuwa nlikutana na mbwa wa miguu nane
Nlimuona Goba tarehe 12/12/1997Hujibu ulicho ulizwa, unajibu usivyo ulizwa.
Ulimuona wapi huyo Mungu akijithibitisha yeye binafsi?
Ulimuona lini huyo Mungu akijithibitisha yeye binafsi?
Tarehe ngapi?
Mwezi gani?
Mwaka gani?
Na muda gani exactly?
Jambo personal mtu anaweza ku hallucinate akaona kitu ambacho hakipo kipo.
Unaweza vipi kuthibitisha Mungu yupo kweli, objectively, kwa ukweli ambao ni ule ule kwa watu wote, si habari za kuungaunga za personal experience?
Maelezo ya Smartkhan yalijitosheleza rudi ukasome upya uelewe.Jambo personal mtu anaweza ku hallucinate akaona kitu ambacho hakipo kipo.
Unaweza vipi kuthibitisha Mungu yupo kweli, objectively, kwa ukweli ambao ni ule ule kwa watu wote, si habari za kuungaunga za personal experience?
Maelezo ya Smartkhan yalijitosheleza rudi ukasome upya uelewe.
Unataka uthibitisho wa aina gani ?Maelezo gani? Hayana post number? Hayana link?
Jambo personal mtu anaweza ku hallucinate akaona kitu ambacho hakipo kipo.
Unaweza vipi kuthibitisha Mungu yupo kweli, objectively, kwa ukweli ambao ni ule ule kwa watu wote, si habari za kuungaunga za personal experience?
Npe sababu 1 ni kwanini unataka kuthibitishiwa ?Maelezo gani? Hayana post number? Hayana link?
Jambo personal mtu anaweza ku hallucinate akaona kitu ambacho hakipo kipo.
Unaweza vipi kuthibitisha Mungu yupo kweli, objectively, kwa ukweli ambao ni ule ule kwa watu wote, si habari za kuungaunga za personal experience?
Uthibitisho wenye logical consistency na usioweza kuwa contradicted logically.Unataka uthibitisho wa aina gani ?
Nataka uthibitisho uwekwe wazi ili tujue uweli ni upi na uongo ni upi.Npe sababu 1 ni kwanini unataka kuthibitishiwa ?
Pili, Kama huwa unasikia kuhusu Mungu je umewahi kufanya jitihada zako binafsi kumjua Mungu ?
Mungu hayupo kwenye hivyo vitabu,Nataka uthibitisho uwekwe wazi ili tujue uweli ni upi na uongo ni upi.
Nimefanya jitihada binafsi. Nimesoma
Biblia
Quran
Torah
Talmud
Ahura Mazda
Bhagavad Gita
Vedas
Dhammapada
Tripitaka
Uppnishads
Tao Te Ching
Tibetan Book Of The Dead
Egyptian Book of The Dead
The Norton Anthology if World Religions
Philosophy of Religion An Anthology
Just to mention a few.
Kati ya hivyo, wewe umesoma vingapi?
Ni kweli Mungu hayupo kwenye hivyo vitabu.Mungu hayupo kwenye hivyo vitabu,
Kwenye hivyo vitabu nachambua vitu vichache vinavyonifaa kutokana na nyakati ambayo nipo, kwahiyo hivyo vitabu sio vipaumbele kwa upande wangu
Mtu ambae anaweza kuthibitisha ni wewe mwenyewe ( Najua hautanielewa hapa )Uthibitisho wenye logical consistency na usioweza kuwa contradicted logically.
Kutoelewa chochote, popote, muda wowote, kwa kiumbe chochote, ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hayupo.Mtu ambae anaweza kuthibitisha ni wewe mwenyewe ( Najua hautanielewa hapa )
Lakini utaweza kama utaamua kufuata kanuni za kuthibitisha
Lakini utaweza kama utaamua kufuata kanuni za kuthibitishaKutoelewa chochote, popote, muda wowote, kwa kiumbe chochote, ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hayupo.
Yani kuhitaji kufuata kanuni yoyote nako ni uthibitisho kuwa Mungu hayupo.Lakini utaweza kama utaamua kufuata kanuni za kuthibitisha
Ni jambo gani Duniani halihitaji kanuni ???????Yani kuhitaji kufuata kanuni yoyote nako ni uthibitisho kuwa Mungu hayupo.
Hili ni jambo ambalo, katika ulimwengu ambao Mungu huyo yupo, lilitakiwa kuwa guaranteed default ambalo halihitaji uamuzi wowote.
Ukishaona habari za kufuata kanuni ujue hilo ni changa la macho la kuficha ukweli kuwa Mungu hayupo.