Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Uwepo wa Mungu unatambulika "kwanza" na mtu binafsi,
Swala linalohusu Roho vivyo hivyo ni jambo binafsi ambalo mtu mmoja mmoja ana experience

Mimi ambaye tayari natambua na nna experience kuhusu haya maarifa kazi yangu ni kukupa maarifa ya namna ya wewe kuexperience wewe mwenyewe,

Yani ujithibitishie wewe mwenyewe ukiwa peke yako, Baadae ndio tutakuwa wamoja kwenye kutambua uwepo wa maswala kama haya kwasababu wote tunakua tume experience hali jinsi ilivyo na mambo jinsi yalivyo
Kama unatambua uwepo wa huyo Mungu unatambua wewe mwenyewe na watu wengine waamini huyo Mungu.

Mimi Sitambui uwepo wa huyo Mungu wala Roho.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe hadharani na ajidhihirishe mwenyewe yeye kama yeye, Kwamba yupo.

Hapo ndipo nitajua na kuhakikisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.
 
You must be crazy
Speaking about something that doesn't exist

Unafanya maamuzi ukidhani unamkomoa Mungu kumbe unajikomoa mwenywe
 
Kama unatambua uwepo wa huyo Mungu unatambua wewe mwenyewe na watu wengine waamini huyo Mungu.

Mimi Sitambui uwepo wa huyo Mungu wala Roho.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe hadharani na ajidhihirishe mwenyewe yeye kama yeye, Kwamba yupo.

Hapo ndipo nitajua na kuhakikisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.
Okay endelea kumsubiri hadi atakapojitokeza physical
 
Kwanini mtu akisema Mungu hayupo watu wengi wanapenda kumtishia?

Halafu kutumia kitabu cha dini kama evidence ya Mungu kuwepo ni kama kutumia Comic book kama evidence ya Spiderman kuwepo.

Mimi nadhani kunaweza kuwa na Mungu ila sio huyu tunae ambiwa kwenye dini kwasababu huyu wa kwenye vitabu vya dini ukichunguza vizuri anatabia za binadamu.
 
Za
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Zaburi 15:1
 
Kwanini mtu akisema Mungu hayupo watu wengi wanapenda kumtishia?

Halafu kutumia kitabu cha dini kama evidence ya Mungu kuwepo ni kama kutumia Comic book kama evidence ya Spiderman kuwepo.

Mimi nadhani kunaweza kuwa na Mungu ila sio huyu tunae ambiwa kwenye dini kwasababu huyu wa kwenye vitabu vya dini ukichunguza vizuri anatabia za binadamu.
Mkuu uko sahihi kwa asilimia kubwa.

Na ndio maana kupitia imani kuna roho matakatifu huyu atakuongoza.

Kuna roho nyingi tu ila Roho Mtakatifu ndio atakayekutenganisha/anatofautisba kati ya MUNGU HALISI na hao miungu watu.
 
Kwa nini uhitaji imani ya kuamini Mungu yupo, Badala ya kujua kwa uhakika na uthibitisho kabisa Mungu yupo?
 
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃

Jidanganye!
 
Hata usipokubali kwamba Mungu hayupo.

Ukweli na uhalisia utabaki palepale, Huyo Mungu hajawahi kuwepo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Kama huyo Mungu yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo kama ana huo uwezo.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe.

Mnatetea fictional character.

Anayedai Mungu yupo ni mimi au wewe?

Yani unaleta habari na madai yako ya kwamba Mungu yupo, Halafu unataka mimi nikuthibitishie madai yako?

Wewe unayedai huyo Mungu yupo ndio umthibitishe yupoje ili tuweze kumjua yupo.

Ukishindwa kuthibitisha, Ni kwamba madai yako ya uwepo wa huyo Mungu ni madai ya UONGO na huyo Mungu HAYUPO.

Unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule.
Nilidhani labda unazo nukuu zenye strong poin zinazo toa evidence kuwa hakuna Mungu

Kumbe umekula ugali wako na maharage umeshiba ndio ukasema kuwa hakuna Mungu
 
Unataka evidence kwa kitu ambacho hakipo?

Kitu chenye evidence ni kwamba kipo, kisicho kuwepo hakina evidence.

Wewe ndio unatakiwa uthibitishe uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo, Ukishindwa ni kwamba huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.

Unahangaika sana kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye.
 
Samahani, Kuna kitu kinaitwa Aura unakifahamu au umewahi kusikia kuhusu Aura ?
 
Back
Top Bottom