Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Wewe unaiweka kwenye kundi gani AuraNdio
Mfano labda
Sayansi, Spiritual, Sanaa au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaiweka kwenye kundi gani AuraNdio
Kundi la energy katika Asili(Nature).Wewe unaiweka kwenye kundi gani Aura
Mfano labda
Sayansi, Spiritual, Sanaa au ?
Nna uhakika energy hujawahi kuiona zaidi ya kuona matokeo yake,Kundi la energy katika Asili(Nature).
Mimi roho yangu ina nguvu mnooo!! Wala sisiti kusema hili na najivunia sanaKundi la energy katika Asili(Nature).
Kila kitu ni Energy na Nature.Nna uhakika energy hujawahi kuiona zaidi ya kuona matokeo yake,
Na huwezi kunithibitishia uwepo wake lakini sote tunajua kuna energy
Anyways sipo huko kwa muda huu,
Nlichotaka niseme ni kwamba Aura imebeba nguvu pia ya roho ya mtu ( Roho ni energy pia ) na ndio maana kwenye tafsiri yake tunasema ni nguvu na mwili uliopo ndani ya kiumbe
Wewe unaamini katika mageuzi sivyo?Iyo nature na Energy ilijitengeneza yenyewe tu...Haiingii akilini hata kidogo.Kila kitu ni Energy na Nature.
Haya majina mengine ya Mungu, Roho ni majina ya ziada tu, ku refer vitu vilevile, Energy na nature.
Mimi ninachopinga ni watu kusema kwamba, Kuna kitu mnacho kiita "Mungu" kimekaa mahali kina Monitor mienendo ya kila kiumbe.
Ambacho pia kinataka kiaminiwe na kuabudiwa na kila mtu, Pia kina operate na ku control mambo yote ya ulimwengu.
Ambapo kisipo aminiwa na kuabudiwa kina kasirika na kitakuja kutoa adhabu kwa kila kiumbe kisicho mwamini na kumwabudu.
Mimi ndio napinga uwepo wa huyo Mungu wa namna hii.
Ila kama Nature na Energy ndio ume amua kuviita Mungu na Roho ni sawa.
Mimi sina shida na hayo majina.
Yan unataka kutuaminisha Uumbaji ni mageuzi...😂😂 kama kuna vitu ambavyo sio Nature na Energy kuna aliye vitengeneza basi hata Ulimwengu yupo Muumba wa vyote...Kila kitu ni Energy na Nature.
Haya majina mengine ya Mungu, Roho ni majina ya ziada tu, ku refer vitu vilevile, Energy na nature.
Mimi ninachopinga ni watu kusema kwamba, Kuna kitu mnacho kiita "Mungu" kimekaa mahali kina Monitor mienendo ya kila kiumbe.
Ambacho pia kinataka kiaminiwe na kuabudiwa na kila mtu, Pia kina operate na ku control mambo yote ya ulimwengu.
Ambapo kisipo aminiwa na kuabudiwa kina kasirika na kitakuja kutoa adhabu kwa kila kiumbe kisicho mwamini na kumwabudu.
Mimi ndio napinga uwepo wa huyo Mungu wa namna hii.
Ila kama Nature na Energy ndio ume amua kuviita Mungu na Roho ni sawa.
Mimi sina shida na hayo majina.
Na huyo Mungu alijitengeneza?Wewe unaamini katika mageuzi sivyo?Iyo nature na Energy ilijitengeneza yenyewe tu...Haiingii akilini hata kidogo.
Huyo Mungu alitokea tu, from no where?Yan unataka kutuaminisha Uumbaji ni mageuzi...😂😂 kama kuna vitu ambavyo sio Nature na Energy kuna aliye vitengeneza basi hata Ulimwengu yupo Muumba wa vyote...
Kama ilivyo mtoto wako hawezi jua maisha yako ya miaka ya nyuma sana,ndivyo ilivyo kwa Mungu.Kamwe huwezi mwazia Muumba wa vyote kwa ufahamu wako mdogo..Na huyo Mungu alijitengeneza?
Nami nitakuuliza ..Mtoto unae mzaa sasa ata akikua akajitambua anaweza kujua maisha yako ya nyuma kwa hualisia.Huyo Mungu alitokea tu, from no where?
Ulimwengu Hauhitaji muumbaji, kama ilivyo kwa mtoto hawezi kujua maisha yako ya nyuma, ndivyo ilivyo kwa Ulimwengu. Huwezi kujua kamwe ulimwengu ulianzaje.Kama ilivyo mtoto wako hawezi jua maisha yako ya miaka ya nyuma sana,ndivyo ilivyo kwa Mungu.Kamwe huwezi mwazia Muumba wa vyote kwa ufahamu wako mdogo..
Hawezi kujua.Nami nitakuuliza ..Mtoto unae mzaa sasa ata akikua akajitambua anaweza kujua maisha yako ya nyuma kwa hualisia.
Mungu hayupo? au wewe ndio haujui kama Mungu yupo?Unataka evidence kwa kitu ambacho hakipo?
Kitu chenye evidence ni kwamba kipo, kisicho kuwepo hakina evidence.
Wewe ndio unatakiwa uthibitishe uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo, Ukishindwa ni kwamba huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
Unahangaika sana kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye.
Ndivyo ilivyo Rafiki yangu hatuwezi kumwelezea Mungu kwa uelewaje wetu mdogo,na atuwezi taka atudhibitishie kwakujitokeza mbele yetu ili uamini yupo..Kumbuka wewe ni wa hali yachini sana kulingana na ukuuwake ..Kujidhihirisha kwake kunaonekana kutokana na uumbaji.Hawezi kujua.
Huyo Mungu kama yupo aje hapaMungu hayupo? au wewe ndio haujui kama Mungu yupo?
Quran 3:137
- Kabla yenu zimepita nyendo nyingi; basi tembeeni katika ulimwengu muangalie vipi ulikuwa mwisho wa wanao kanusha.
Mungu anasema wewe sio wa kwanza kudai kuwa hakuna Mungu wapo wenzako walishakuwepo kama wewe karine nyingi zilizopita aliwaangamiza na akaacha kumbukumbu Kwa ajili ya vizazi vijavyo kama wewe
Sasa anesema nenda katika hizo sehemu ukaangalie ilikuwaje mwisho wao
Sasa kama huwezi kumwelezea huyo Mungu, Uliwezaje kujua yupo?Ndivyo ilivyo Rafiki yangu hatuwezi kumwelezea Mungu kwa uelewaje wetu mdogo,na atuwezi taka atudhibitishie kwakujitokeza mbele yetu ili uamini yupo..Kumbuka wewe ni wa hali yachini sana kulingana na ukuuwake ..Kujidhihirisha kwake kunaonekana kutokana na uumbaji.
Roho ni nini mkuu, ulijuaje uwepo wake? Uliijua kabla ya habari za dini ama baada ya kuambiwa na vitabu vya dini?Mimi roho yangu ina nguvu mnooo!! Wala sisiti kusema hili na najivunia sana
Lengo la kukuchokoza kuhusu Aura, Ni kuwa kwa maarifa ambayo nnayo kuhusu Aura naweza kukusoma vizuri wewe na naweza kukucontrol, Nawezaje ? Kwasababu kiroho wewe upo weak mnoooo!! kwanini upo weak ? Ni kwasababu haujui chochote kuhusu Roho
hiyo hewa unayovuta unafikiri imetoka wapi.Is there wapi?