Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Kama unatambua uwepo wa huyo Mungu unatambua wewe mwenyewe na watu wengine waamini huyo Mungu.

Mimi Sitambui uwepo wa huyo Mungu wala Roho.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe hadharani na ajidhihirishe mwenyewe yeye kama yeye, Kwamba yupo.

Hapo ndipo nitajua na kuhakikisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.
 
You must be crazy
Speaking about something that doesn't exist

Unafanya maamuzi ukidhani unamkomoa Mungu kumbe unajikomoa mwenywe
 
Okay endelea kumsubiri hadi atakapojitokeza physical
 
Kwanini mtu akisema Mungu hayupo watu wengi wanapenda kumtishia?

Halafu kutumia kitabu cha dini kama evidence ya Mungu kuwepo ni kama kutumia Comic book kama evidence ya Spiderman kuwepo.

Mimi nadhani kunaweza kuwa na Mungu ila sio huyu tunae ambiwa kwenye dini kwasababu huyu wa kwenye vitabu vya dini ukichunguza vizuri anatabia za binadamu.
 
Za

Zaburi 15:1
 
Mkuu uko sahihi kwa asilimia kubwa.

Na ndio maana kupitia imani kuna roho matakatifu huyu atakuongoza.

Kuna roho nyingi tu ila Roho Mtakatifu ndio atakayekutenganisha/anatofautisba kati ya MUNGU HALISI na hao miungu watu.
 
Mkuu uko sahihi kwa asilimia kubwa.

Na ndio maana kupitia imani kuna roho matakatifu huyu atakuongoza.

Kuna roho nyingi tu ila Roho Mtakatifu ndio atakayekutenganisha/anatofautisba kati ya MUNGU HALISI na hao miungu watu.
Kwa nini uhitaji imani ya kuamini Mungu yupo, Badala ya kujua kwa uhakika na uthibitisho kabisa Mungu yupo?
 


Jidanganye!
 
Nilidhani labda unazo nukuu zenye strong poin zinazo toa evidence kuwa hakuna Mungu

Kumbe umekula ugali wako na maharage umeshiba ndio ukasema kuwa hakuna Mungu
 
Nilidhani labda unazo nukuu zenye strong poin zinazo toa evidence kuwa hakuna Mungu
Unataka evidence kwa kitu ambacho hakipo?

Kitu chenye evidence ni kwamba kipo, kisicho kuwepo hakina evidence.

Wewe ndio unatakiwa uthibitishe uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo, Ukishindwa ni kwamba huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
Kumbe umekula ugali wako na maharage umeshiba ndio ukasema kuwa hakuna Mungu
Unahangaika sana kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye.
 
Samahani, Kuna kitu kinaitwa Aura unakifahamu au umewahi kusikia kuhusu Aura ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…