Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Huo utafiti uliufanya lini na ulitumia methodology gani
Unataka Utafiti gani kwa kitu ambacho hakipo?

Wewe ndiye unayetakiwa uni prove wrong kwamba Mungu huyo hayupo.

Maana wewe ndiye unayedai Mungu huyo yupo.

Sasa thibitisha huyo Mungu yupoje, ili uni prove wrong kwamba hayupo.

Ukishindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu ni kwamba hayupo.

Utakuwa unafosi mawazo yako yasiyo na uthibitisho wowote ule wala uhalisia.
 
Wazazi wako wanafagaku juu ya imani yako hiyo mpya na wamekuunga mkono?
Hakuna haja ya wao kufahamu. Hii pia inanirahisishia mimi kujumuika na familia kwenye matukio yote ya kidini bila wao kujua msimamo wangu kiimani.
 
Jaman wafia din
swal lpo wazi la mdau ju pale
Kwamba thbtsha mungu yupo mnaleta majbu yasiyo ya maana na vfungu vyenu vya bible
Ila ukija kwnye uhalisia matendo ya uyo mungu wenu hayapo maishani zaid ya ahadi za kwnye vtabu tu

kila sku watoto wadogo wanakufa na magonjwa ,vita kila sku .majanga kila sku
Lakn mungu wenu hasem chchote
Achen kukuwa brainwashed

Haya wafia din jibuni swali direct
Mthbitishen mungu wenu kama yupo
Mnaemwita ni mwema
 
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Taratibu waafrica tunaenda kwenye Hali halisi ya kuwa binadamu na kuukimbia ukoloni wa kifkra… kongore kwako chief
 
Jaman wafia din
swal lpo wazi la mdau ju pale
Kwamba thbtsha mungu yupo mnaleta majbu yasiyo ya maana na vfungu vyenu vya bible
Ila ukija kwnye uhalisia matendo ya uyo mungu wenu hayapo maishani zaid ya ahadi za kwnye vtabu tu

kila sku watoto wadogo wanakufa na magonjwa ,vita kila sku .majanga kila sku
Lakn mungu wenu hasem chchote
Achen kukuwa brainwashed

Haya wafia din jibuni swali direct
Mthbitishen mungu wenu kama yupo
Mnaemwita ni mwema
Kuna vitu vingine unatafuta laana za bure......what will you loose ukiamini????
Unaamini majini kama wapo???
 
Usicheke Mkuu majitu yasiyokuwa na dini ni makatili hatari! Kwa ufupi hayana utu!
Taliban hawana dini?

Paul Mackenzie yule mchungaji aliyeua maelfu ya waumini kule Msituni Shakahola Kenya wake hana dini?

Kina kibwetere je? Waliochoma waumini wao kanisani.

BBC ilivyo fichua uovu wa TB Joshua alivyokuwa anatesa na kunyanyasa wanawake ulisikia?

Mapadri na mashehe wangapi wanatuhumiwa na wametuhumiwa kwa kesi za ubakaji na ulawiti?

Majitu yenye dini na yenye kujifanya yameshika sana dini ndio Makatili wakubwa hapa duniani.
 
Mtoa mada upo pamoja na mimi kwenye hiyo life style amebaki mke wangu tu ila na yeye ameanza kunielewa why nimejitoa kwenye kuimani story za kutungwa na wazungu amekuwa mzito kwenda church.
 
There is power where everything formed from there, we uamini Mungu yupo usiamini aimpunguzii wala kimwongezea chochote Uyo Mungu, sis ni substance from a formless utakufa utarud ktk formless, nawe ni sehem ya Mungu kwasababu waweza umba kitu either ktk fikra zako na ata in real, ila kwakuwa ubongo umeunguwa fyuzi bas utaendelea kusema baada ya Mungu mi mzungu
 
Kuna vitu vingine unatafuta laana za bure......what will you loose ukiamini????
Unaamini majini kama wapo???
Kuna vitu vingine unatafuta laana za bure......what will you loose ukiamini????
Unaamini majini kama wapo??

Kuna vitu vingine unatafuta laana za bure......what will you loose ukiamini????
Unaamini majini kama wapo???
Mkuu siamin chchte hapo
Siwez amin kitu cha kufkrika mkuu
Swali lpo wazi mkuu thbtsha mungu yupo mwenye upendo na wema

Hafu unajua mnakaza tu kchwa
Hv mateso yanayoendlea kwa watu hamuyaoni e
Watu wanateseka sana especialy watoto ambao hawana hatia jaman ni wanakufa na sababu mbalimbal toka zaman had sasa hv tnavojadili hapa jf

Haya uyo mungu ambye ni mwema yupo wapi mkuu
Achen kukuwa wajinga
 
Tunarudi palepale: mthibitishe huyo Mungu. Najua huwezi!

Wanayasayansi tafiti na vumbuzi zao wanazipata kwa kufanya majaribio.
Wewe unavyofikili, unadhani hivyo vitu wavyovifanyia utafiti wanavitoa wapi.

Uki-define sayansi (science) utapata jibu...

Sayansi kitu kikubwa inachokifanya ni ku-study uumbaji wa MUNGU.

Wakishang'amua mechanism behind katika phenomena mbalimbali katika uumbaji, wana-document na ku-publish Kwa umma.

Kupitia Taaluma kama vile Engineering wana-copy mfumo wa asili kama ulivyo ndio wanadezaini tech mbalimbali.

Sasa rafiki yangu we umepagawa na sayansi ambayo ni zao la uumbaji wa MUNGU.

Na hizo hizo vumbuzi wanasayansi huwa wanasaidiwa na MUNGU mwenyewe.
Tunarudi palepale: mthibitishe huyo Mungu. Najua huwezi!
Kuna jambo linaitwa ulimwengu wa ROHO kama hulijui na hauna imani basi ni Ngumu kuthibitika kwa Mungu kwako.
 
Thibitisha huyo Mungu yupo.

Ukishindwa wewe unayedai Mungu huyo yupo ilhali huwezi kumthibitisha yupo ndio Mpumbavu.

Unadai kitu kipo halafu kuki thibitisha huwezi.
Yeyote anayesema Mungu hayupo, anathibisha kuwa yupo. Kwanini uwe concerned na kitu kisichokuwepo? Tunaweza ita chochote, ila nyuma ya vitu vyote tunavyoona kuna muumbaji(the creator)
 
Yeyote anayesema Mungu hayupo, anathibisha kuwa yupo. Kwanini uwe concerned na kitu kisichokuwepo? Tunaweza ita chochote, ila nyuma ya vitu vyote tunavyoona kuna muumbaji(the creator)
Mimi nakosoa habari za uwepo wa Mungu huyo kwa sababu ni habari za UONGO.

Ninyi mnaosema na kudai kwamba Mungu huyo yupo ndio mnatakiwa kuthibitisha madai yenu ili yawe ukweli.

Sio mnaongea vitu bila evidence yeyote wala uthibitisho.

Sanasana mnafosi hekaya zenu za vitabuni huko na kiimani ziwe ukweli ilhali ni Uongo kwa vile hakuna uthibitisho wowote wa uwepo wa huyo Mungu.

Ni hadithi hadithi tu, zisizo na uthibitisho wowote ule.
 
Back
Top Bottom