Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kuna ulazima upi wa kwamba binadamu tumeumbwa?Kwa hiyo ulijiumba au ulijiotesha ewe ndugu mwandishi mwenye maisha yako ya furaha??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ulazima upi wa kwamba binadamu tumeumbwa?Kwa hiyo ulijiumba au ulijiotesha ewe ndugu mwandishi mwenye maisha yako ya furaha??
Usicheke Mkuu majitu yasiyokuwa na dini ni makatili hatari! Kwa ufupi hayana utu!😂😂😂😂😂 nimecheka daaah 😂😂😂😂
Tunarudi palepale: mthibitishe huyo Mungu. Najua huwezi!Mkuu BILA MUNGU hakuna sayansi kama unabisha tafuta maana ya sayansi afu tafakari wanasayansi wanatoa wapi hizo tafiti na vumbuzi zao.
Umeongea kwa uchungu sana masta 😂😂😂😂😂😂😂 hahahaha hahahaha ahahahaUsicheke Mkuu majitu yasiyokuwa na dini ni makatili hatari! Kwa ufupi hayana utu!
Unataka Utafiti gani kwa kitu ambacho hakipo?Huo utafiti uliufanya lini na ulitumia methodology gani
Taratibu waafrica tunaenda kwenye Hali halisi ya kuwa binadamu na kuukimbia ukoloni wa kifkra… kongore kwako chiefHabari wana-JF!
Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.
Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.
Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.
Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.
Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:
1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.
2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.
3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.
4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.
5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.
6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.
7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.
8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.
9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.
10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.
Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.
The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Kuna vitu vingine unatafuta laana za bure......what will you loose ukiamini????Jaman wafia din
swal lpo wazi la mdau ju pale
Kwamba thbtsha mungu yupo mnaleta majbu yasiyo ya maana na vfungu vyenu vya bible
Ila ukija kwnye uhalisia matendo ya uyo mungu wenu hayapo maishani zaid ya ahadi za kwnye vtabu tu
kila sku watoto wadogo wanakufa na magonjwa ,vita kila sku .majanga kila sku
Lakn mungu wenu hasem chchote
Achen kukuwa brainwashed
Haya wafia din jibuni swali direct
Mthbitishen mungu wenu kama yupo
Mnaemwita ni mwema
Taliban hawana dini?Usicheke Mkuu majitu yasiyokuwa na dini ni makatili hatari! Kwa ufupi hayana utu!
Kuna vitu vingine unatafuta laana za bure......what will you loose ukiamini????
Unaamini majini kama wapo???
Kuna vitu vingine unatafuta laana za bure......what will you loose ukiamini????
Unaamini majini kama wapo??
Mkuu siamin chchte hapoKuna vitu vingine unatafuta laana za bure......what will you loose ukiamini????
Unaamini majini kama wapo???
Huyo Mungu Alishindwaje kuwasaidia binadamu wote wakamtambua yeye yupo kwa wakati wote bila utata na utofauti wa kiimani?Mungu akusaidie
Wewe unavyofikili, unadhani hivyo vitu wavyovifanyia utafiti wanavitoa wapi.Tunarudi palepale: mthibitishe huyo Mungu. Najua huwezi!
Wanayasayansi tafiti na vumbuzi zao wanazipata kwa kufanya majaribio.
Kuna jambo linaitwa ulimwengu wa ROHO kama hulijui na hauna imani basi ni Ngumu kuthibitika kwa Mungu kwako.Tunarudi palepale: mthibitishe huyo Mungu. Najua huwezi!
Yeyote anayesema Mungu hayupo, anathibisha kuwa yupo. Kwanini uwe concerned na kitu kisichokuwepo? Tunaweza ita chochote, ila nyuma ya vitu vyote tunavyoona kuna muumbaji(the creator)Thibitisha huyo Mungu yupo.
Ukishindwa wewe unayedai Mungu huyo yupo ilhali huwezi kumthibitisha yupo ndio Mpumbavu.
Unadai kitu kipo halafu kuki thibitisha huwezi.
Mimi nakosoa habari za uwepo wa Mungu huyo kwa sababu ni habari za UONGO.Yeyote anayesema Mungu hayupo, anathibisha kuwa yupo. Kwanini uwe concerned na kitu kisichokuwepo? Tunaweza ita chochote, ila nyuma ya vitu vyote tunavyoona kuna muumbaji(the creator)