Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Wafia dini washakimbia wala hawana hoja za kujibu.Kaniboa kweli sijui ilikuwaje mpk kasahau? 😂😂😂
Yani nimepitia uzi comments kidogo nikamuona kaka mkubwa Kiranga sijakaa vizuri nikakuona nimecheka balaaa.!!
Hapa ngoja nimalize kimeo kimoja nirudi rasmi kufatilia mchuano 😹😹😹
Wanajaribu kufosi mawazo yao uchwara na hekaya zao za Biblia na Quran ziwe ukweli kumbe ni takataka tu.