Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Sasa wewe kama kuna vitu vingi huvijui, Ulijuaje huyo Mungu yupo?

Au unafosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule?
Sasa Kwa Akili Yako kama tu unaambiwa wachawi wapo lakini hawaonekani huyo mungu ndio utaweza kumuona... Mungu tunam experience Mzee , mnasoma sana elimu za watu huko mkizani ndio mna maarifa kumbe mmejaza ujinga
 
Mungu
Nini au nani anakupa hiyo pumzi na afya njema? Maana huna control nayo, wewe ni dhaifu mno linapokuja suala la pumzi, afya na uhai. Huna control hata ya sekunde kadhaa zijazo. Weakness ya hali ya juu mno. Who is in control?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hujajibu swali chief, Jibu swali langu
Nakwambia hivi, 👇

Hizo nguvu zinafanywa na wazee ambao ni binadamu.

Hakuna nguvu isiyo ya kibinadamu inayo onekana ikifanya kitu yenyewe tu, physically.

Ndio maana unahitaji hao wazee wakuelezee hizo nguvu zao za kibinadamu zinafanyaje kazi.

Kama hiyo nguvu ingekuwa inafanya kazi yenyewe tu (independent) bila wazee, Ungehitaji kuonana na hiyo nguvu directly pasipo kuhitaji kutumia hao wazee ambao ni binadamu.
 
Unapenda kutengeneza maana zako mwenyewe, Wewe ni mburura sana unalijua hilo ? 😅
 
Inavyoonekana hujitambui.
This kind of fallacy is called ad hominem.

Badala ya kujibu hoja unaleta Viroja na kumshambulia mleta hoja.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
 
This kind of fallacy is called ad hominem.

Badala ya kujibu hoja unaleta Viroja na kumshambulia mleta hoja.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Unatukuza sana sentensi za watu...
 
Nakwambia hivi, 👇

Hizo nguvu zinafanywa na wazee ambao ni binadamu.

Hakuna nguvu isiyo ya kibinadamu inayo onekana ikifanya kitu yenyewe tu, physically.

Ndio maana unahitaji hao wazee wakuelezee hizo nguvu zao za kibinadamu zinafanyaje kazi.

Kama hiyo nguvu ingekuwa inafanya kazi yenyewe tu (independent) bila wazee, Ungehitaji kuonana na hiyo nguvu directly pasipo kuhitaji kutumia hao wazee ambao ni binadamu.
Hao wazee ni aina ya watu ambao wanayo maarifa ya namna ya kuchannel mambo fulani na hizo nguvu zikafanya kazi

Ni kama Mwanasayansi tu anavyounganisha A na B kuleta matokeo ya kitu fulani
 
Sio mbaya umejichagulia mwenyewe njia yako na hiyo ndio itakuongoza kwenye safari yako ya kuliwa nyama na wachawi
Mnapotoa maneno ya vitisho kwa mtoa mada, mnampa point 3 muhimu huku ninyi mkibaki na point 0.

Vitisho vya nini? Ameleta hoja, apingwe kwa hoja. Kiranga
 
Unapenda kutengeneza maana zako mwenyewe, Wewe ni mburura sana unalijua hilo ? 😅
Umeshindwa kuthibitisha hiyo nguvu ipoje yenyewe kama yenyewe, bila kuhitaji kutumia wazee.

Ila unafosi kwamba hiyo nguvu sio ya kibinadamu, ilhali inafanyika na wazee ambao ni binadamu.

Wewe ndio kichwa maji ambaye huelewi hizo nguvu za wazee zipoje. Ila unafosi hizo nguvu sio za wazee.
 
Nini msingi wa mawazo kwamba hakuna Mungu?

Swali zuri.

Kwanza kabisa, dhana ya kuwapo Mungu, tukianzia na dhana ya kuwapo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ina mikanganyiko mingi (contradictions).

Mikanganyiko hii, kwa kutumia msingi wa fikra za kimantiki, mpaka leo haijawahi kutatuliwa, licha ya kuwepo kwa maelfu ya miaka.

Kutoweza kutatuliwa huku kunatuonesha kuwa dhana hii ya kuwapo Mungu, haijajengwa katika hoja zenye ukweli, ni hadithi ya uongo ya kutungwa na watu tu.

Mathalani, Epicurus (341—271 B.C.E.) aliona wazi kuwa, Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya yatakayoumiza viumbe vyake, ni jambo lenye mkanganyiko.

Ama, Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote yupo, na dunia haina ubaya wowote.

Ama, ubaya upo duniani, na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Mawili haya, yaani Mungu huyo na mabaya kuweza kuwepo, hayawezi yote kuwapo (they are mutually exclusive).

Tunaona wazi kuwa mabaya yapo, yanawezekana kuwepo.

Hivyo basi, Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Rejea "Philosophy of Religion: An Anthology" Rea, Michael Cannon, Pojman, Louis P. Sixth Edition PART IV The Problem of Evil pp 276

Attached.
 
Attachments

Umeshindwa kuthibitisha hiyo nguvu ipoje yenyewe kama yenyewe, bila kuhitaji kutumia wazee.

Ila unafosi kwamba hiyo nguvu sio ya kibinadamu, ilhali inafanyika na wazee ambao ni binadamu.

Wewe ndio kichwa maji ambaye huelewi hizo nguvu za wazee zipoje. Ila unafosi hizo nguvu sio za wazee.
Nguvu gani?
Nguvu tunayoita ni "uchawi"
Tafuta maana ya neno "uchawi"
 
Kiranga na infronuer , Dini ndio zenye contradiction ila mungu hana contradiction.
 
Attachments

  • Screenshot_20240807-155429.png
    Screenshot_20240807-155429.png
    1,023.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom