Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

How did you know God is the source of creation?

And how can you prove your claim?
We can prove through existence of this cosmos , and we know through the experience of intelligence he has put on his cosmos
 
Nguvu tunayoita ni "uchawi"
Tafuta maana ya neno "uchawi"
Kuna hiyo Attachments uliyoituma hapo imeeleza vizuri kabisa kwamba uchawi ni maarifa waliyonayo watu maalumu.

Na hao watu maalumu ni binadamu.

Sio kwamba uchawi ni nguvu isiyo ya kibinadamu.

Ila uchawi ni maarifa ya watu maalumu ambao ni binadamu.

Usicho elewa ni nini?
 
Kuna hiyo Attachments uliyoituma hapo imeeleza vizuri kabisa kwamba uchawi ni maarifa waliyonayo watu maalumu.

Na hao watu maalumu ni binadamu.

Sio kwamba uchawi ni nguvu isiyo ya kibinadamu.

Ila uchawi ni maarifa ya watu maalumu ambao ni binadamu.

Usicho elewa ni nini?
Unasoma huku unakimbia ? soma tena ni "maarifa maalumu" sio watu maalumu
 
  • Thanks
Reactions: 511
Mkuu, naomba nikwambie kitu.
Hapo mwanzo, mtu aliumba Mungu, alileta nadharia ya Mungu kujiliwaza tu.
ila kiuhalisia Mungu wala hayupo.
Lakini haiwezi ikawa rahisi hivyo et sisi binadam tutokee tu by chance kwenye ukamilifu wa namna hii , jiangalie wewe ulivyo pangiliwa af jiulize je inawezekana tu nilivyo nmetokea Kwa bahat mbaya
 
  • Thanks
Reactions: 511
We can prove through existence of this cosmos , and we know through the experience of intelligence he has put on his cosmos
Firstly prove how God came to existence.

Acha kutumia existence ya vitu vilivyopo kuvihusisha kwamba viliumbwa na huyo Mungu ambaye hata humjui na hujawahi kumuona.

Thibitisha huyo Mungu yupo yeye kama yeye.
 
Jamii forums kungekuwa na space basi Sasa ungekuwa wakati mzuri kusikiliza hoja kwa DEBATE baina ya wanao amini katika uwepo wa Mungu na wasio amini🖐️
 
Mungu ni chanzo Cha Kila kitu unachokiona kwenye ulimwengu
Sasa huyo Mungu ni katili sana,
yeye ni chanzo cha kila kitu?

dunia imejaa majanga mengi ya asili, tetemeko, vimbunga n.k

kuna vita karibia kila kona ya dunia,
watoto wadogo wasiokuwa na hatia wanakufa kila siku.
na Mungu mwenye upendo anaruhusu hayo yatokee.

sasa Upendo wake uko wapi?

kwa mfano wewe unaweza kujenga nyumba nzuri, halafu ukaweka familia yako humo na utegeshe mabomu ndani yake?

utakuwa na upendo kweli kuweka familia yako ndani ya nyumba uliyotega mabomu?

sasa inakuwaje Mungu mwenye upendo wote ameumba dunia yenye majanga chungu nzima na akatuweka ndani yake?
 
Unanikosoa tena, hahaha
Na mimi nkuulize watu maalumu gani ?
Watu maalumu wenye maarifa maalumu.

Huwezi kuwa na maarifa yenyewe tu, Bila watu.

Ndio maana hiyo definition ya uchawi ime elezea clearly kwamba, Ni watu maalumu wenye maarifa maalumu.

Sio maarifa yenyewe tu bila watu.
 
Back
Top Bottom