Maisha bila ya kuingia JF

Maisha bila ya kuingia JF

Hata mimi pia huwa najifikiria hivyo, au labda unakuwa huwezi kupost content yyte au hata kuangalia pia huwezi
kuna Ban za aina mbili kuna moja hiyo ukipigwa ukitaka ku Log in unaletewa kiujumbe fulani cha kinafki cha kkuambia kwamba Umepigwa ban mpka muda fulani yani hapo umeingia mada zile pale umeziona ila ndo zimezingwa na hicho ki Ilani uchwara,

Ban ya pili hii ndo ya kukera... sehemu ya kucomment inatoweka unakuwa huwezi kuchangia chochote zaidi ya kutwanga Likes tu kama raraa reree
 
Back
Top Bottom