Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi muda mwingi nautumia nje ya jf kuitumikia ban kuliko muda ambao nakua huru ndani ya jf.Hongera sana. Mimi pia ban siijui kabisa.
Hadi natamani siku niiombe nijue nikipigwa ndio inakuwaje nikitaka ku log in.
Kwahiyo watu walifaidika na jf kupitia watu wengine na sio wewe?Soma na uelewe usikulupuke,,kuna sehemu nimesema nilikuwa naposti?humu zamani watu wamepona magonjwa,,watu walipata ushauri ,,watu walipata kazi kupitia humu,,siku hizi mtu analeta habari za akina Giggy money na mwijaku
Wewe mkorofi na mchokozi pia😂Mimi muda mwingi nautumia nje ya jf kuitumikia ban kuliko muda ambao nakua huru ndani ya jf.
Asante sanaHongera mkuu🤣🤣
Kama uko Serious kwenye hili ni P^M . 😆😆Nipe namba yako ya simu kwanza ili nikishughulikiwa uwe unaniambia yanayojiri humu.