Maisha bila ya kuingia JF

Soma na uelewe usikulupuke,,kuna sehemu nimesema nilikuwa naposti?humu zamani watu wamepona magonjwa,,watu walipata ushauri ,,watu walipata kazi kupitia humu,,siku hizi mtu analeta habari za akina Giggy money na mwijaku
Kwahiyo watu walifaidika na jf kupitia watu wengine na sio wewe?

Kifupi tunaweza kusema kua,wewe kama wewe hukua na mchango wowote wa maana hapa jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…