Maisha bwana!

Huwa najiuliza sana, hivi mtu unapokaa ukaandika chai ndefuuuuuu JF huwa lengo linakuwa nini haswa yaani
Nilikuwa nasoma vizuri sana ila alipoanza habari za vitu anavyomiliki kwa hiyo salary halafu bado anaendelea na hiyo kazi ndo aliponichosha
 
Posho ya elfu 60..
1. Ujengee nyumba!
2. Usomeshe watoto kwa ada zaidi ya sh.milioni 2 kwa mwaka!
2. Kila siku ule wali kuku au ugali kuku!
3. Uko mbioni kununua gari!

Uongo! Uongo! Uongo!
Amesema ana mradi wa kuku...
Labda hiyo 60 elf alinunua vifaranga akaanzisha mradi wa kuku ambao ndio umeleta vyote hivyo
 
60,000 × 12 = 720,000 million 2 unaitoa wapi?

Siku nyingine punguza kamba, na ukijifunza uongo usiwe mwepesi wa kusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…