6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Maiti haowezi kujisafirisha yenyeweWa hapa bongo hawatuletea gharama kivileee za kuwasafirisha kurudi nyumbani wakiwa hai au wamefariki
Uafadhali upo buana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maiti haowezi kujisafirisha yenyeweWa hapa bongo hawatuletea gharama kivileee za kuwasafirisha kurudi nyumbani wakiwa hai au wamefariki
Uafadhali upo buana
Pole sana mkuu jaribu na ufugaji pia Mkuu... !Weee kule kwetu mimi siishi huko, nililima yaani kila siku naangalia utabili wa hali ya hewa weee acha presha ilikuwa juuu.
Unasemaje Dar tunapochanga kupeleka Misiba mikoani? Nimechanga mno tokea US, mara nyingi nimeletewa hizo bills za misiba, Je ni Watanzania wote hawana uwezo?Maiti haowezi kujisafirisha yenyewe
Story za ma youtubers hizi za wamarekani weusi kuhamia ghana???Kazi hizo za kada ya chini zipo nyingi sana haswa baada ya corona watu wengi wameacha kazi na hawataki kazi, lakini pia kazi hizo ni ngumu sana kuendesha maisha kwakuwa maisha ni ghali sana kuliko kipato, mfumuko wa bei ni hatari. Wamarekani wengi wanakimbilia Asia kama philipines, Thailand, Vietnam ambako maisha ni rahisi huku wakijaribu kazi za kufundisha kiingereza.
Kazi zipo ila ni hand-to-mouth na ni lazima ujitume ufanye kazi zaidi ya moja kwa siku, sio.mambo ya bongo saa 10 jioni kazi imeisha mpaka kesho.
Lazima uwe unafanya kazi 2 au 3 kwa siku yaani kulala labada masaa manne tu.
Pia kuishi kwa $600 marekani? Naona kama haiwezekani ,hayo yatakuwa ni maisha magumu sana.
Yote kwa yote kama huna la maana bongo bora kujaribu marekani fursa zipo za kukufanya uishi na ulipe bills. Yote kwa yote africa ndio kila kitu, wamarekani weusi wanahamia afrika haswa ghana na gambia kwa kasi sana hawataki kabisa kurudi kwao.
600 $ zinatosha kabisa kununua groceries ..mazaga zaga kwa mwezi mzima .. kwa maisha ya states nyingi tu,Kazi hizo za kada ya chini zipo nyingi sana haswa baada ya corona watu wengi wameacha kazi na hawataki kazi, lakini pia kazi hizo ni ngumu sana kuendesha maisha kwakuwa maisha ni ghali sana kuliko kipato, mfumuko wa bei ni hatari. Wamarekani wengi wanakimbilia Asia kama philipines, Thailand, Vietnam ambako maisha ni rahisi huku wakijaribu kazi za kufundisha kiingereza.
Kazi zipo ila ni hand-to-mouth na ni lazima ujitume ufanye kazi zaidi ya moja kwa siku, sio.mambo ya bongo saa 10 jioni kazi imeisha mpaka kesho.
Lazima uwe unafanya kazi 2 au 3 kwa siku yaani kulala labada masaa manne tu.
Pia kuishi kwa $600 marekani? Naona kama haiwezekani ,hayo yatakuwa ni maisha magumu sana.
Yote kwa yote kama huna la maana bongo bora kujaribu marekani fursa zipo za kukufanya uishi na ulipe bills. Yote kwa yote africa ndio kila kitu, wamarekani weusi wanahamia afrika haswa ghana na gambia kwa kasi sana hawataki kabisa kurudi kwao.
Unasemaje Dar tunapochanga kupeleka Misiba mikoani? Nimechanga mno tokea US, mara nyingi nimeletewa hizo bills za misiba, Je ni Watanzania wote hawana uwezo?
Ndio nilikuwa namjibu kuwa ,wasiwaseme tu waio nje ya nchi hata hapa Bongo watu huchangiwa na kusafirishwa
Hahaha daah nalo hili nenoHivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!
Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.
Hii tunaletewa sana US, na Mara nyingi unatakiwa uchangie almost yote..Hivyo swala la kuwachangia wana Diaspora isiwe nongwa.
Ni kweli mkuu inabidi tubadilike Sasa kuendana na Kasi ya ulimwengu.Kwanza napenda kutumia nafasi hii kukupa shukrani kwa uwezo wako wa kutambua hulka za ndugu zetu watz. Ki ukweli sisi tupo nyuma kwa kila kitu kwa sababu ya tabia hizi za ubishi ubishi usiokuwa na maana. Mfano unaweza kumpa mtu mchongo wa jambo fulan la pesa, utasikia mtu anakwambia "mbona ww hilo jambo au huo mchongo haujaufanya, inamaana hautaki hizo pesa? au hauna ndugu yako yoyote wa kumpa huo mchongo mpaka unipe mimi tu? Hayo ndio maswali unayoweza kuulizwa pindi unapojaribu kumpa mchongo mbongo mwenzio, kwahiyo kwa aina hii ya tabia, ndo maana wabongo wengi hatugeani michongo na matokeo yake wengi wetu tunaishi maisha ya kubabaisha ukilinganisha na wenzetu kutoka Congo, Kenya, Rwanda, Uganda nk. Kuhusu shule ya ulichosema wala haujakosea mkuu. Nashukur Mungu wanangu wanapata elimu bora kabisa, sio bora elimu.
Mara nyingi kushindwa kurudi sio nauli Bali watu hawana Makaratasi,wakitoka hawawezi kurudi US,huko wengi hawaelewi.Hahaha daah nalo hili neno
Sijajua hasa definition ya kutoboa, labda niulize kati ya Watanzania million 60, ni wangapi wametoboa! Ni Mtanzania ambaye nimeikatiza sana Tanzania, hebu nipe ratio tu ya huo utobozi before I provide statistics za Watanzania halisi!Hivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!
Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.
Ukienda America fanya juu chini upate papers.Huwa inahuzunisha zaidi pale mtu anapoishi amerika miaka 15 hadi 20 hajatoboa, halafu ikatokea amerudi bongo kuishi. Yaani huwa wanachanganyikiwa nyie acheni
Inaonekana Le mutuz alikimbia child support 🤣🤣🤣Una uelewa wowote na kitu kinachoitwa child support?
Isikie hivyohivyo tu.
Hili lina ukweli ndan yake.Ukienda America fanya juu chini upate papers.
Uwe na papers , afya njema + akili timamu hapo usipotoboa utakua umelogwa na hautaweza kutoboa sehem yoyote ile
Ndg, Hesabu ni Rahisi sana. Fikiria Umetumia 20 Fresh years Kuyatafuta Maisha kama Diaspora.Sijajua hasa definition ya kutoboa, labda niulize kati ya Watanzania million 60, ni wangapi wametoboa! Ni Mtanzania ambaye nimeikatiza sana Tanzania, hebu nipe ratio tu ya huo utobozi before I provide statistics za Watanzania halisi!
Sijajua hasa definition ya kutoboa, labda niulize kati ya Watanzania million 60, ni wangapi wametoboa! Ni Mtanzania ambaye nimeikatiza sana Tanzania, hebu nipe ratio tu ya huo utobozi before I provide statistics
Niko Marekani, Texas jimbo la watu Conservative sina kumbukumbu ya kubaguliwa, si furahishi baraza! Nimekamatwa kwa makosa yangu mwenyewe barabarani tena wakati Mwingine nikiwa na arrest warrant! Maanake natakiwa niende jela ! Hao polisi wa kizungu walinipa guidance na jinsi kulipa fine, In short I was treated with dignity. Watoto wangu wamesoma US doing White Colour jobs,kwenye interview kwenye Instution fulani ya Fedha alikuwa mweusi peke yake.Amesoma University professors karibu wote wazungu hajawi kunipa story za kubaguliwa, Usingie tu kwenye bandwagon ya wimbo wa ubaguzi, kuna story nyingi behind...hii ni topic nyingine. Kuhusu kusaidia nyumbani, Je unajua michango ya wana Diaspora wote wanaofanya kwa ndugu zao! Sina haja ya kujisifu, maana nimesomesha, nimeuguza, nimewapa ndugu Zangu mitaji.Juzi Rais Samia ame acknowledge wazi michango ya Diapora na anataka ilipiwe kodi. Hivyo usichukulie Diaspora unaowafahamu wakashindwa maisha ndio wote!Nauliza tena ni Watanzania wote walioko bongo wametoboa? Sample yangu ya watu wote niliosoma nao shule hadi chuo kila mtu ana maisha ya aina yake! Hayo ndio maisha, hata Tanzania nzima uwalete Marekani watatoa matokeo tofauti ya mafanikio.Ndg, Hesabu ni Rahisi sana. Fikiria Umetumia 20 Fresh years Kuyatafuta Maisha kama Diaspora.
Huna Contribution yoyote Kwa Nchi...!Kwa Ndg Wa Karibu n.k..!
Unataka Kurudi Nyumbani.Wengi Uliowaacha Nyumbani wako Mbali Kimaendeleo..!
Sasa Wewe Ni Diaspora Kuja Kumzika tu Mzazi Wako Unakosa Nauli... !Wewe Mwenyewe Unajiweka Kwenye Kundi Lipi? Umefanikiwa au Umepoteza...!?
Jua kuwa Ukikaa nje halafu unaganga njaa...wenyewe mnaita kubeba Box kazi hizo za Udereva,kuosha Bakuli kwenye migahawa sijui Kuzoa Taka na Kusafisha mitaro...jua unapoteza muda na Utu Wako.. Rudi tu Nyumbani Kuepuka Kubaguliwa ' Ubaguzi Wa Rangi'.
Huo ndo Ushauri Wangu...Nilishakaa kidogo huko ...Ubaguzi Niliouona Nilijiapiza Kuwa Siwezi Kuuvumilia..!
Unajua maana ya mbeba box? Huku you are factory worker, au tunafanya Warehouse,ndugu yangu singangi njaa! Nina health insurance,life insurance Nina saving ya Uzeeni 401K nina Social Security, nina magari, Nina nyumba worthy $350000,Mimi na mke hata tukijirusha net saving$ 1500-2000, utasema naganga njaa.Hii ni miaka kumi niliyokaa US.Naomba niulize ni Watanzania wangapi kila mwezi ana saving hiyo? Najua wapo,lakini mimi mtu wa kawaida US, niambie Mtanzania wa kawaida kabisa anaweza kuwa na maisha hayo! Maisha ni kupanga jamaa yangu.Niko Marekani, Texas jimbo la watu Conservative sina kumbukumbu ya kubaguliwa, si furahishi baraza! Nimekamatwa kwa makosa yangu mwenyewe barabarani tena wakati Mwingine nikiwa na arrest warrant! Maanake natakiwa niende jela ! Hao polisi wa kizungu walinipa guidance na jinsi kulipa fine, In short I was treated with dignity. Watoto wangu wamesoma US doing White Colour jobs,kwenye interview kwenye Instution fulani ya Fedha alikuwa mweusi peke yake.Amesoma University professors karibu wote wazungu hajawi kunipa story za kubaguliwa, Usingie tu kwenye bandwagon ya wimbo wa ubaguzi, kuna story nyingi behind...hii ni topic nyingine. Kuhusu kusaidia nyumbani, Je unajua michango ya wana Diaspora wote wanaofanya kwa ndugu zao! Sina haja ya kujisifu, maana nimesomesha, nimeuguza, nimewapa ndugu Zangu mitaji.Juzi Rais Samia ame acknowledge wazi michango ya Diapora na anataka ilipiwe kodi. Hivyo usichukulie Diaspora unaowafahamu wakashindwa maisha ndio wote!Nauliza tena ni Watanzania wote walioko bongo wametoboa? Sample yangu ya watu wote niliosoma nao shule hadi chuo kila mtu ana maisha ya aina yake! Hayo ndio maisha, hata Tanzania nzima uwalete Marekani watatoa matokeo tofauti ya mafanikio.
Net saving per Month baada ya kutoa bills zote! Mimi ni picha halisi ya mbeba maboksi, sasa acha Watanzania wenzangu ambayo wameenda shule. Marekani inataka Nidhamu ya maisha,information, na kibali halali cha kuwepo hapa. Kamwe hutaganga njaa.Unajua maana ya mbeba box? Huku you are factory worker, au tunafanya Warehouse,ndugu yangu singangi njaa! Nina health insurance,life insurance Nina saving ya Uzeeni 401K nina Social Security, nina magari, Nina nyumba worthy $350000,Mimi na mke hata tukijirusha net saving$ 1500-2000, utasema naganga njaa.Hii ni miaka kumi niliyokaa US.Naomba niulize ni Watanzania wangapi kila mwezi ana saving hiyo? Najua wapo,lakini mimi mtu wa kawaida US, niambie Mtanzania wa kawaida kabisa anaweza kuwa na maisha hayo! Maisha ni kupanga jamaa yangu.