Maisha halisi nchini Marekani

Wa hapa bongo hawatuletea gharama kivileee za kuwasafirisha kurudi nyumbani wakiwa hai au wamefariki

Uafadhali upo buana
Maiti haowezi kujisafirisha yenyewe
 
Story za ma youtubers hizi za wamarekani weusi kuhamia ghana???

Mkuu ikitoka Nigeria ambayo imezuiliwa kwasasa issue za green card maana idafi yao ni kubwa kwa kipinfi cha miaka kadhaa huko Marekani..
Watu wengine wanohangaika usiku na mchana kuchomoka nchinibkwao basi ni wa Ghana ..
Hali ni mbaya huko nchi haieleweki ....

Hakuna systems zakumsupport mmarrkani mweusi eyi ang'a ng'anie kubaki Ghana "hawataki kutudi kwao", ni uongo mtupu
 
600 $ zinatosha kabisa kununua groceries ..mazaga zaga kwa mwezi mzima .. kwa maisha ya states nyingi tu,
 
Hahaha daah nalo hili neno
 
Ni kweli mkuu inabidi tubadilike Sasa kuendana na Kasi ya ulimwengu.
 
Sijajua hasa definition ya kutoboa, labda niulize kati ya Watanzania million 60, ni wangapi wametoboa! Ni Mtanzania ambaye nimeikatiza sana Tanzania, hebu nipe ratio tu ya huo utobozi before I provide statistics za Watanzania halisi!
 
Huwa inahuzunisha zaidi pale mtu anapoishi amerika miaka 15 hadi 20 hajatoboa, halafu ikatokea amerudi bongo kuishi. Yaani huwa wanachanganyikiwa nyie acheni
Ukienda America fanya juu chini upate papers.
Uwe na papers , afya njema + akili timamu hapo usipotoboa utakua umelogwa na hautaweza kutoboa sehem yoyote ile
 
Ndg, Hesabu ni Rahisi sana. Fikiria Umetumia 20 Fresh years Kuyatafuta Maisha kama Diaspora.

Huna Contribution yoyote Kwa Nchi...!Kwa Ndg Wa Karibu n.k..!

Unataka Kurudi Nyumbani.Wengi Uliowaacha Nyumbani wako Mbali Kimaendeleo..!
Sasa Wewe Ni Diaspora Kuja Kumzika tu Mzazi Wako Unakosa Nauli... !Wewe Mwenyewe Unajiweka Kwenye Kundi Lipi? Umefanikiwa au Umepoteza...!?

Jua kuwa Ukikaa nje halafu unaganga njaa...wenyewe mnaita kubeba Box kazi hizo za Udereva,kuosha Bakuli kwenye migahawa sijui Kuzoa Taka na Kusafisha mitaro...jua unapoteza muda na Utu Wako.. Rudi tu Nyumbani Kuepuka Kubaguliwa ' Ubaguzi Wa Rangi'.

Huo ndo Ushauri Wangu...Nilishakaa kidogo huko ...Ubaguzi Niliouona Nilijiapiza Kuwa Siwezi Kuuvumilia..!
 
Sijajua hasa definition ya kutoboa, labda niulize kati ya Watanzania million 60, ni wangapi wametoboa! Ni Mtanzania ambaye nimeikatiza sana Tanzania, hebu nipe ratio tu ya huo utobozi before I provide statistics

Niko Marekani, Texas jimbo la watu Conservative sina kumbukumbu ya kubaguliwa, si furahishi baraza! Nimekamatwa kwa makosa yangu mwenyewe barabarani tena wakati Mwingine nikiwa na arrest warrant! Maanake natakiwa niende jela ! Hao polisi wa kizungu walinipa guidance na jinsi kulipa fine, In short I was treated with dignity. Watoto wangu wamesoma US doing White Colour jobs,kwenye interview kwenye Instution fulani ya Fedha alikuwa mweusi peke yake.Amesoma University professors karibu wote wazungu hajawi kunipa story za kubaguliwa, Usingie tu kwenye bandwagon ya wimbo wa ubaguzi, kuna story nyingi behind...hii ni topic nyingine. Kuhusu kusaidia nyumbani, Je unajua michango ya wana Diaspora wote wanaofanya kwa ndugu zao! Sina haja ya kujisifu, maana nimesomesha, nimeuguza, nimewapa ndugu Zangu mitaji.Juzi Rais Samia ame acknowledge wazi michango ya Diapora na anataka ilipiwe kodi. Hivyo usichukulie Diaspora unaowafahamu wakashindwa maisha ndio wote!Nauliza tena ni Watanzania wote walioko bongo wametoboa? Sample yangu ya watu wote niliosoma nao shule hadi chuo kila mtu ana maisha ya aina yake! Hayo ndio maisha, hata Tanzania nzima uwalete Marekani watatoa matokeo tofauti ya mafanikio.
 
Unajua maana ya mbeba box? Huku you are factory worker, au tunafanya Warehouse,ndugu yangu singangi njaa! Nina health insurance,life insurance Nina saving ya Uzeeni 401K nina Social Security, nina magari, Nina nyumba worthy $350000,Mimi na mke hata tukijirusha net saving$ 1500-2000, utasema naganga njaa.Hii ni miaka kumi niliyokaa US.Naomba niulize ni Watanzania wangapi kila mwezi ana saving hiyo? Najua wapo,lakini mimi mtu wa kawaida US, niambie Mtanzania wa kawaida kabisa anaweza kuwa na maisha hayo! Maisha ni kupanga jamaa yangu.
 
Net saving per Month baada ya kutoa bills zote! Mimi ni picha halisi ya mbeba maboksi, sasa acha Watanzania wenzangu ambayo wameenda shule. Marekani inataka Nidhamu ya maisha,information, na kibali halali cha kuwepo hapa. Kamwe hutaganga njaa.
 
mi fundi tofali naweza kipata kazi huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…