Maisha halisi nchini Marekani

Jinsi Ulivyodadavua inaonekana Wazi Mzazi Wako au Ndugu yako Wa Karibu Akifariki ,Faster Unakata Tiketi ya Go and Return Kwenda Kumzika...!
Sasa Jiulize Wangapi Wana Uwezo huo...!.
 
Imetosha Mkuu.....
Tumekubali...🤣 🤣
Wabongo usishindane nao watakuongezea mvi kichwani.....
 
jamani mimi ni fundi togali naweza kupata kazi huko mbona hamunijibu mnataka nisiende huko
 
Naona unaweweseka na hilo jina Da Vinci, ila ukweli ndio huo bwashee, wewe tumia tu jina la Da Vinci haimaanishi kwamba na wewe unapakuliwa.
Watu wanaongea wee unaleta ushoga Happ jinga sana
 
Hata mimi siamini kama inawezekana kuishi Marekani kwa matumizi ya $600 kwa mwezi (including bills), hata ukiwa unaishi pekee yako (huna familia). Kuna phone bills, kuna internet and TV bills, kuna kodi ya umeme na maji/maji taka, kodi ya nyumba - whether umepanga au unalipia mortgage nyumba yako, kuna monthly vehicle insurance, kuna kujaza petroli, kuna kula msosi. Na kadhalika. Kweli haya yote iwe dola 600 tu? Hata huko kwenye poorest areas za Marekani, kuna bili hazikwepeki. Anyways, watu tunatofautiana. Inawezekana yeye hiyo $600 inamtosha kwa kila kitu, na kuweza kuwekeza Tanzania $4,500 kwa mwezi. Ila watu huwa tunadanganywa sana na hawa so called diaspora. Kuna baadhi nimewasoma humu naona kidogo wanaeleza ukweli na uhalisia wa maisha ya Marekani. Ila wengine, mmmh, naona ni hadithi tu. Hayo ya kuchangishana kwa kuwa baadhi ya watanzania wana hali ngumu yapo kwa sana tu. Mara kwa mara utakuta Go fund me pages kusaidia sijui mtu kafiwa huko Tanzania hana nauli, au amelazwa lakini hawezi kilipia madeni ya hospitali. Anyways, hayo ya kuchangishana ni kawaida kila mahali.
 


Ndio hivyo generalisation sio powa

Ila sisi tukumbwa na dhahama pia ya kutuma pesa U.S. kusaidia waliokwama kimaisha wanalala kwenye magari hawawezi lipa rent. Wengine tumesafirisha kwa gharama za bongo hiihii

Hata America wako wanaopata na wanaokosa na huo ni ukweli ambao lazima usemwe
 
Nina rfk angu anaitwa floyd Ni rais wa autrich duniani acha nimuombe mualiko
 
Mbn Hakuna nafuu jmn umesema Kuna watu unawaona uko unatamani. Uwapandishe kwenye ndege kwa viboko warud tz kwann hkn Kaz zile za Dola 20 kwa saa jmn au Ni wavulivu was kufanya Kaz hzo mnk mnasema Kaz za vibarua zipo hao walioko huko kwann wamekosa na Hawa unawataka uwapeleke Tena uko wakatezeke Tena jmn
 
Jinsi Ulivyodadavua inaonekana Wazi Mzazi Wako au Ndugu yako Wa Karibu Akifariki ,Faster Unakata Tiketi ya Go and Return Kwenda Kumzika...!
Sasa Jiulize Wangapi Wana Uwezo huo...!.

TYK..!
Nilirudi nyumbani kumzika baba yangu Mzazi, mke wangu alirudi kumzika dadake, sikupitisha bakuli, najua baadhi ya Watanzania hawarudi kwa Mazishi, tatizo kubwa hawana Makaratasi, huwezi kukaa miaka marekani ukakosa go and return ticket, najua Kuna baadhi wachache navyoiona mimi, kikubwa kabisa sio nauli ni papers. Bila papers Uhuru wa kutoka na kuingia tena US ni shida.
 
Je ukiingia kwenye addictions za ulevi, madawa,umalaya,madeni utasaidiwaje?Marekani records zako za maisha zitakufuata mpaka kaburini, system haina msamaha kwa kiasi kikubwa
 
Je ukiingia kwenye addictions za ulevi, madawa,umalaya,madeni utasaidiwaje?Marekani records zako za maisha zitakufuata mpaka kaburini, system haina msamaha kwa kiasi kikubwa
Tanzania hatuna background check,usilipo kodi ya nyumba ni shida kupangishwa popote pale, uzembe barabarani hasa ulevi unaweza fungiwa leseni maisha, fikiri uko Texas,miji kama Dallas, usafiri wa kutumia gari ni almost 80%...umekwisha! Kupachika mimba mwanamke bila kuishi naye unapigwa Child support, inakatwa juu kwa juu popote utakapoajiriwa.Ukiamua kuachia zipu yako bila kufikiri utajuta, hiyo ndio Marekani.
 
Napafahamu Kempton park ndipo ulipo uwanja wa Oliver Tambo.

Ukienda mbele zaidi unafika East land mall uzunguni.
Kwahiyo mnazungzia habari za South Africa na sio Marekani tena?
 
Mama D hapo umezungumza, kupata na kukosa ni popote ulimwenguni, yaani akili zako kichwani, mpangilio wako wa maisha unatengeneza hatima ya maisha yako.Marekani kuna opportunities, ndio,lakini wengine wanaona opportunities za Malaya, ulevi,starehe.nkWengine ni wavivu wa kuzaliwa, hata wangebaki Tanzania wangefeli kimaisha.Uzuri/ubaya wa bongo tunabebana kimaisha,wazembe, wavivu,ndugu, jamaa wana wa absorb. Marekani hakuna hiyo! Lazima ulipie uzembe wako! System imetengenezwa hivyo.
 
Mawazo yako
Mpende Ndugu yako, mpende Jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.

Hakuna Maisha rahisi.

Usimchuze mwenzio baadae akaja kujuta na kuchanganyikiwa, Maisha ya kuhadithiwa/kuelezewa ni tofauti na Maisha halisi atakayokutana nayo
 
Uko right, Leonardo Da Vinci alikuwa shoga.

Yesu wa kwenye Biblia hayuko kwenye historical records ila King Isa ali exist. Maria Magdalena ni Mary of Magdala, Magdalena ni mjia ambao yeye alikuwa Queen.

Mary of Magdala alikuwa mke wa Issa (Jesus) na alizaa naye watoto watatu. Wa kiume mmoja na wakike wawili.

Yesu, King Issa alikuwa pia na brothers wake watano mmoja wao ni James ambaye alikuwa Priest Jerusalem.

King Issa aliwapa shida sana warumi na baada ya kukamatwa akapelekwa Irrland kuhufadhiwa huko na warumi. Mary of Magdala mke wake hakuonana naye tena. Warumi walimzuia asiende kuishi naye. Aliishia maeneo ya Ufaransa.

Yesu ni descendant wa Pharaoh Cleopatra wa Egypt na Emperor Nero wa Rom.
Cleopatra ni Dinasty ya saba ya Pharaoh Ptolemy. Ptolemy alikuwa mmoja wa ma-general wa Alexender The Great aliye kuwa Pharaoh wa kwanza mgiriki Egypt na mwanzilishi wa mji wa Alexandria.

Baada ya kifo cha Alexander The Great huko Babelon Pharaoh Ptolemy alimzika Egypt kwa wish yake.

Wakristo huko Rom wamepindisha sana historia ya Yesu. Ni waongo wakubwa!

Mengi zaidi nitawaletea.
 
True la mcng kulinda watoto wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…