Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Work permit South Africa ,utaratibu ukoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Work permit South Africa ,utaratibu ukoje?
Nilishaandika kwenye Mada ya ukitaka kwenda Marekani lazima ujipange, labda niseme Marekani ni kubwa sana, hivyo experience ya huyu inaweza kuwa tofauti na Mwingine, ni vigumu sana ku generalize. Nimeingia Marekani roughly miaka 10, Nina nyumba, na karibu 90% ya Watanzania naofahamiana nao mimi walioingia kabla yangu wana nyumba. Nachoweza kusema kujua una fanyokitafuta nini Marekani, nini unachokitafuta ni muhimu sana.Kwanza kuwa na Makaratasi, pili kui study how American system work.Wengi hawafanyi hayo! Ukiwa na steady income, credit yako ikiwa nzuri utapata nyumba ya level yako. Niko Texas miaka miwili iliyopita nimeona Watanzania wakihamia Texas from other States na kununua nyumba Frisco na Celina maeneo ambayo ni ya just, hivyo inawezekana, lakini vile vile ni mipango ya mtu na priorities zake za Maisha, na mfahamu Mtanzania mwenye nyumba zaidi ya tatu.Hata Tanzania tu si wote wanajenga.Ni mipangilio ya mtu.Hili mimi ndo amenishangaza, nachofahamu kumiliki nyumba ni moja ya mambo magumu sana kufanikisha US, na huwa hakuishii kwenye kumiliki tu - kodi zao za nyumba ni kubwa sana kiasi ambacho baadhi yao hushindwa kulipa na hunyang'anywa majengo, wakazi wengi sana na hata wazawa wanaishi kwenye nyumba za kupanga, na hususani kwenye majimbo yaliyoendelea sana mithili ya NY na LA
Yawezekana katika jicho la pili yupo sahihi lakini labda kwenye majimbo duni mfano: HAWAII, PHILLY, COLORADO, ARIZONA, ATLANTA nakadhalika
True thatMikoani hakuna fursa zozote acheni kujazana upumbavu kichwani.
Vijana wanaona bora wawe machinga dar kuliko huko unakoona kwenye fursa.
watamchana kwa msumeno wa kuchania mbao wabongo wenzake na wauza sembe mchana kweupeSouth Africa unaijuwa au umehadithiwa?
Mkuu wzungu gani hao wanoomba urai wa Tz , kumbuka kuwa Tz hawana uraia pacha, mbona ni jambo gumu kidogo????nikupe tu habari yako hata mimi nje nimekaa kwa kufikiria kuona nitafanikiwa ila nilikuja kugundua nyumbani ni rahisi kufanikiwa tena sehemu ambapo bado ushindani.kama utaki kuamini nenda uhamiaji pale ukaone wazungu wakiomba uraia hapa .
we jidanganye na dar uje kushtuka sio leo kama una mtaji zaidi ya milioni 30 kwenda mbele.
hata aliyekuwa hapo mtoa uzi unaona kabisa ni bora africa kuliko kwa watu maana una kipi jipya labda kwao kitakuwa kigeni.
Naona si vyema kusema kumiliki nyumba ni mambo magumu sana! Mimi ni mbeba maboksi...maana yake halisi nafanya kazi kiwandani, nilikuwa na Credit na savings zangu, nilipata options za nyumba nyingi! Siishi kwenye Slums..Nilishaandika kwenye Mada ya ukitaka kwenda Marekani lazima ujipange, labda niseme Marekani ni kubwa sana, hivyo experience ya huyu inaweza kuwa tofauti na Mwingine, ni vigumu sana ku generalize. Nimeingia Marekani roughly miaka 10, Nina nyumba, na karibu 90% ya Watanzania naofahamiana nao mimi walioingia kabla yangu wana nyumba. Nachoweza kusema kujua una fanyokitafuta nini Marekani, nini unachokitafuta ni muhimu sana.Kwanza kuwa na Makaratasi, pili kui study how American system work.Wengi hawafanyi hayo! Ukiwa na steady income, credit yako ikiwa nzuri utapata nyumba ya level yako. Niko Texas miaka miwili iliyopita nimeona Watanzania wakihamia Texas from other States na kununua nyumba Frisco na Celina maeneo ambayo ni ya just, hivyo inawezekana, lakini vile vile ni mipango ya mtu na priorities zake za Maisha, na mfahamu Mtanzania mwenye nyumba zaidi ya tatu.Hata Tanzania tu si wote wanajenga.Ni mipangilio ya mtu.
Duuh, aisee...!Tatizo ukiugua, halafu siamini kuwa katika miaka sita uliyokaa Marekani umeweza kuwekeza huku nyumbani,basi ulikuwa muuza sembe bila shaka,kwa kazi ipi hadi miaka 6 uwekeza home,umesoma muda gani hadi kuwa professional mwenye wage ya uhakika
Sasa kama unajuwa vizuti habari za credit score mbona uliandika kama unamshutumu lmleta mada kanakwamba kuna sehemu alizungumza anatumia vibaya credit card yake Mkuu??Najua vizuri na hata hizo credit points zinavyopatikana
Naona si vyema kusema kumiliki nyumba ni mambo magumu sana! Mimi ni mbeba maboksi...maana yake halisi nafanya kazi kiwandani, nilikuwa na Credit na savings zangu, nilipata options za nyumba nyingi! Siishi kwenye Slums..
wala low income apartment..
Mkuu ni visa on arrival , so tafuta nauli yako just nenda ukatali talii hata week 2 ,ukipata infos muhimu unazohitaji then rudi bongo ...Ahsante Mkuu hapo nimekuelewa vizuri,Maisha ya Bondeni Kuna muda nayatamani
Acheni kuwadanganya wana mazee.Kapige Kazi ya ulinzi South,Dubai au USA utatoboa,uza kiwanja cha familia,miezi mitatu hela imerudi.
True mbona wengi wapo nje wameanzia na ulinzi kabla awajapata ramani.Acheni kuwadanganya wana mazee.
Embu tembelea indeed.com (browse nchi unazozi target) anagalia kazi hata za entry level kwa field yako , tafuta hata za online/remotelyAhsante kwa majibu Mkuu, natamani sana kuishi huko ama nchi yoyote Duniani nje na hapa kwetu
Yes , fanya internship na kujivolunteer ndio njia nzuri kutoboaHapo umesema ukweli Mkuu, nimeona sana haya ma NGO makubwa wanasema wanataka mtu mwenye experience ya NGO hivo basi kuzipata hizo kazi mpaka kuwa na msingi mzuri
Lini ulikuwa Dubai?Dub
Dubai? Kule utafirika na ulishwe mavi
Watakuja wabishe.Mjini connections na fursa zote zipo.
Na ukitaka kuona fursa zilivyo kwenye miji, angalia rural-urban migration ilivyokubwa.
Mkuu kama mtu ni hotelier maisha ya kazi Kwa Marekani yapoje?Niwape usia mnaotaka kuzamia nje. Kwanza uwe na professional ingia hata veta piga ujuzi wowote tu udereva ni lzm. Piga capentry, nursing, umeme, ujenzi, nk. Jifunze lugha kuu Ingia nchi yeyeto kihalali, njia sahihi tumia gia ya kwenda kusoma Ili upate connection na wenyeji. Ukifika kule usibague Kazi, tii sheria za nchi yaani mtu akikupiga shavu la kushoto mpe na la kulia kabisa. Kuwa makini kabisa na masuala ya mapenzi, bora ukanunue kama umeshindwa funga zipu, wekeza Sana kwenye uaminifu na uchapakazi. Usifanye vitu haramu. Fanya saving Angalizo ni hatari sana kutuma pesa bongo sijui kwa ndugu Ili akufanyie maendeleo wengi wameonyeshwa misingi na nyumba za watu. Bora utunze pesa likizo ndo uje ufanye maendeleo.
Wapo wabongo wengi hapa hapa Bongo sasa ni wazee wanashinda vijiwe vya kahawa tu , wamerdika na maisha yao ya furaha hapa bongo, tusiwashutumu wa njeHuwa inahuzunisha zaidi pale mtu anapoishi amerika miaka 15 hadi 20 hajatoboa, halafu ikatokea amerudi bongo kuishi. Yaani huwa wanachanganyikiwa nyie acheni
Nilishaandika kwenye Mada ya ukitaka kwenda Marekani lazima ujipange, labda niseme Marekani ni kubwa sana, hivyo experience ya huyu inaweza kuwa tofauti na Mwingine, ni vigumu sana ku generalize. Nimeingia Marekani roughly miaka 10, Nina nyumba, na karibu 90% ya Watanzania naofahamiana nao mimi walioingia kabla yangu wana nyumba. Nachoweza kusema kujua una fanyokitafuta nini Marekani, nini unachokitafuta ni muhimu sana.Kwanza kuwa na Makaratasi, pili kui study how American system work.Wengi hawafanyi hayo! Ukiwa na steady income, credit yako ikiwa nzuri utapata nyumba ya level yako. Niko Texas miaka miwili iliyopita nimeona Watanzania wakihamia Texas from other States na kununua nyumba Frisco na Celina maeneo ambayo ni ya just, hivyo inawezekana, lakini vile vile ni mipango ya mtu na priorities zake za Maisha, na mfahamu Mtanzania mwenye nyumba zaidi ya tatu.Hata Tanzania tu si wote wanajenga.Ni mipangilio ya mtu.