Maisha halisi nchini Marekani

Maisha halisi nchini Marekani

Asante sana Mkuu kwa sharing.

USA kweli wana pesa kuna jamaa yupo state anatuma fedha tu amejenga nyumba ya kisasa ndani ya miezi miwili imeisha.
 
Tupe ushahidi
Kikwazo cha Kwanza kuingia Canada Visa yake ni complicated,Na ndugu zangu wanakuja US kwa summer holiday, baadaye wanataka kuingia, Canada,waliapply Visa February mpaka leo a lakini Visa hawajapata.Visa za USA wanazo mkononi. Baada ya Mpwayungu angalia ni economy ipi Ina create more jobs kati US na Canada utaona ni wapi kuingia na kuishi.
 
Sasa kama unajua, madeni gani unaongelea watu huwa wanaenda kuchukua,

Maana mfumo wa ukopaji unajua. Credit inavyofanya kazi unajua, Scores zinavyopatikana unajua, inakuaje sasa kuandika ujinga mkuu.
Mjinga ni wewe uliyekuwa hujaelewa nimemaanisha nini.
 
Sasa kama unajuwa vizuti habari za credit score mbona uliandika kama unamshutumu lmleta mada kanakwamba kuna sehemu alizungumza anatumia vibaya credit card yake Mkuu??
Sijamlaumu yeye in particular mimi nimezungumzia mfumo mzima wa credit ulivyo. Jamani mbona munapandisha pressure sana siku hizi?
 
Mkuu huu uzi bila angalau kapicha ka kuprove ulichoandika, itakuwa ni sawa na mtu anaepanga kufanya business huku mfukoni akiwa hana hela. Just tupia hata picha mbili tatu. Mfano mi naishi kaburu na hilo pichani ni eneo ninalofanyia kazi.

View attachment 2205913

View attachment 2205914

View attachment 2205916

View attachment 2205918
Mkuu mbona hakuna watu kwasisi tuliyo zoea kuishi kwa kuongea na watu si itakuwa ngumu kuishi kimya kimya bila ya kwenda kupiga story na washikaji wakitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusafirisha maiti maana yake unasafirisha mzigo human remaining body, sasa milioni 40 mlikuwa mnasafirisha mzigo gani? Au kuna wajanja walipiga hizo ela?
Hawa walikuwa wanataka Status tu; My Late grand Papa, alifariki 97, Alisafirishwa kama mzigo, maana gharama ya kusafirisha Norma Funeral ilikuwa juu mno, familia haikuweza kumudu. Ila mzigo ilipipwa kwa kilo na Space na gharama ilikuwa nafuu, Imetokea hivyo pia kwa watu engine wawili ambao nawafahamu tuliishi nao Huku.

Wakati mwingine status ndio zinawagharimu watu, Mtu ameshakufa unawekezaje alot of cash??
 
Nimepitia uzi karibu wote, kuna vingi nimejifunza.

Kuna jamaa mmoja majuzi mwezi umepita alinipa kazi ya kumfungia cctv camera nyumbani kwake, huyu mwamba ana ishi marekani kiutafutaji ila anajenga huku Tz. Kiukweli shughuli zake kule ni za kawaida sana ila anakunja pesa ndefu sana ukilinganisha na wewe ambae unajiita white collar wa Tz na yeye ni blue collar wa USA mamaae unajiona bado unacheza na maisha.

Kwanza jamaa yuko simple sana kimuonekano na lifestyle yake afu ana ustaarabu fulani hivi ambao nadhani unaupata automatic ukiishi huko tofauti na huku kwetu. Imagine in less than 2 months mtu anasimamisha mjengo wa maana afu wakati huo huo anatengeneza na barabara ya mtaa kwa kiwango cha hali ya juu hadi wenyeji wanabaki kuulizana huyu ni nani na ukizingatia hao jirani zake ni watu wa hadhi kubwa tu lakini barabara ikashinda kushirikiana na kuitengeneza lakini amekuja mwamba mmoja (mbeba maboksi) amefanikisha peke ake kimya kimya bila kelele na misifa.

Huwezi linganisha USA na sehemu yeyote ile ulimwenguni kwa swala la utafutaji wa maisha bora kwa wenyeji na wageni wakila race.

Swala la kufanikiwa na kufeli inategemea na focus ya mtu binafsi na nidhamu yako ki utafutaji na utumiaji.
 
Uko right, Leonardo Da Vinci alikuwa shoga.

Yesu wa kwenye Biblia hayuko kwenye historical records ila King Isa ali exist. Maria Magdalena ni Mary of Magdala, Magdalena ni mjia ambao yeye alikuwa Queen.

Mary of Magdala alikuwa mke wa Issa (Jesus) na alizaa naye watoto watatu. Wa kiume mmoja na wakike wawili.

Yesu, King Issa alikuwa pia na brothers wake watano mmoja wao ni James ambaye alikuwa Priest Jerusalem.

King Issa aliwapa shida sana warumi na baada ya kukamatwa akapelekwa Irrland kuhufadhiwa huko na warumi. Mary of Magdala mke wake hakuonana naye tena. Warumi walimzuia asiende kuishi naye. Aliishia maeneo ya Ufaransa.

Yesu ni descendant wa Pharaoh Cleopatra wa Egypt na Emperor Nero wa Rom.
Cleopatra ni Dinasty ya saba ya Pharaoh Ptolemy. Ptolemy alikuwa mmoja wa ma-general wa Alexender The Great aliye kuwa Pharaoh wa kwanza mgiriki Egypt na mwanzilishi wa mji wa Alexandria.

Baada ya kifo cha Alexander The Great huko Babelon Pharaoh Ptolemy alimzika Egypt kwa wish yake.

Wakristo huko Rom wamepindisha sana historia ya Yesu. Ni waongo wakubwa!

Mengi zaidi nitawaletea.

[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa mbona Cleopatra NA Nero wameishi nyakati tofauti kabisa.

Hii kamba hatari sana.
 
Kuna mkoa wenye viwanda na makampuni makubwa Tz kama Dar? Inafuata Pwani au Moro.

Mabenki makubwa yote yapo dar, taasisi za kimataifa zipo dar, njia panda ya ulaya ipo dar.

Mtu aondoke Marekani aje kulima njegere chato. Kisa fursa.
Shangaa na ww,watu wanachekesha ujue,
 
Inaonekana Le mutuz alikimbia child support [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kwel na alieleza kwny kitabu chake,alikimbia familia USA,alichoambulia ni kurud na godoro kubwa[emoji1787]ila Yule baba [emoji1787]hapo Kwanza ncheke
 
Nimepitia uzi karibu wote, kuna vingi nimejifunza.

Kuna jamaa mmoja majuzi mwezi umepita alinipa kazi ya kumfungia cctv camera nyumbani kwake, huyu mwamba ana ishi marekani kiutafutaji ila anajenga huku Tz. Kiukweli shughuli zake kule ni za kawaida sana ila anakunja pesa ndefu sana ukilinganisha na wewe ambae unajiita white collar wa Tz na yeye ni blue collar wa USA mamaae unajiona bado unacheza na maisha.

Kwanza jamaa yuko simple sana kimuonekano na lifestyle yake afu ana ustaarabu fulani hivi ambao nadhani unaupata automatic ukiishi huko tofauti na huku kwetu. Imagine in less than 2 months mtu anasimamisha mjengo wa maana afu wakati huo huo anatengeneza na barabara ya mtaa kwa kiwango cha hali ya juu hadi wenyeji wanabaki kuulizana huyu ni nani na ukizingatia hao jirani zake ni watu wa hadhi kubwa tu lakini barabara ikashinda kushirikiana na kuitengeneza lakini amekuja mwamba mmoja (mbeba maboksi) amefanikisha peke ake kimya kimya bila kelele na misifa.

Huwezi linganisha USA na sehemu yeyote ile ulimwenguni kwa swala la utafutaji wa maisha bora kwa wenyeji na wageni wakila race.

Swala la kufanikiwa na kufeli inategemea na focus ya mtu binafsi na nidhamu yako ki utafutaji na utumiaji.
Battor, Mkuu Marekani ukiwa focused and disciplined na una papers kuna room kubwa ya kufanikiwa. Wengi wa Watanzania kwanza hawana valid legal papers za kuwa Marekani, na kujua wanatafuta nini.Kama unataka ku invest nyumbani, au unataka kusoma, au umeamua maisha yako utaishia na kufia hapa, hayo yote inabidi uamue mapema na uweke nguvu zako hapo.Siwezi ku disclose information za watu,lakini nawajua Watanzania waliofanikiwa Mkuu, wana investments nyumbani na wala hajulikani na watu, wana keep low profile! Na hata ukiamua uishi maisha ya kawaida tu, nimejaribu kutoa mfano wangu, baada ya ku factor umri niliongilia Marekani, age wa watoto wangu ambao nilitaka sana waingie University,ilibidi ni study maisha ya Mmarekani wa kawaida anaishije, yaani anayeamka asubuhi na kwenda Kazini, nikaona pesa anayopata ni kubwa ukilinganisha na Afisa wa cheo cha kati au cha juu Tanzania,nikaona nikweka na discipline ya bongo natoka! Just Imagine labda kwa wiki nalipwa USD 1200 kwa wiki mke wangu bado anasoma na anafanya biashara zake,kwa wiki analeta USD 900, nikilipa Morgage ya nyumba na matumizi mengine, I'm making some savings,nikiweka hiyo pesa kwa pesa za Kitanzania, almost 2mil per Month.With this money I can do something home.Hii ni picha ya Mtu ambaye nimeamua kufanya kazi ya kawaida kabisa haihitaji shule.Hivyo Kunaishika jamaa yangu.
 
Hapa ni mtaani kwangu..jirani yangu ni Mkenya. Just a neighborhood ya watu wa kawasaki, normal working class, huko nyumbani mtaniita mbeba maboksi.Nina insurance ya matibabu,insurance Nikifa, na wanangu wanajitegemea.Ni mipango tu jamaa zangu.Marekani inataka akili tu.
Hiyo nyumba kwenye fremu ya kwanza inaweza kuwa $ ngapi?
 
Back
Top Bottom