Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Hivi miji gani hasa ni mizuri kwa mtu anayekuja US kuanza maisha?Mama D hapo umezungumza, kupata na kukosa ni popote ulimwenguni, yaani akili zako kichwani, mpangilio wako wa maisha unatengeneza hatima ya maisha yako.Marekani kuna opportunities, ndio,lakini wengine wanaona opportunities za Malaya, ulevi,starehe.nkWengine ni wavivu wa kuzaliwa, hata wangebaki Tanzania wangefeli kimaisha.Uzuri/ubaya wa bongo tunabebana kimaisha,wazembe, wavivu,ndugu, jamaa wana wa absorb. Marekani hakuna hiyo! Lazima ulipie uzembe wako! System imetengenezwa hivyo.
Mizuri namaanisha quality of life, better services, security, quality neighbourhood, n.k.
Unaweza nitajia majimbo na neighbourhood zake.