Maisha halisi nchini Marekani

Maisha halisi nchini Marekani

.

On ending note: siku moja napiga story na jamaa yangu kuhusu life nje... nikashare naye fursa ya kazi ya mkataba wa six months ...akasema hawezi kuacha kazi unless mkataba uwe wa five years na kuendelea! Nikajiuliza hivi hii ni akili au ni tope kama la soko la mabibo?

Hmmm, ungejaribu kumuelewa tu - naamini naye alifikiri kabla ya kufikia hitimisho, wengi katika watu wanapenda assurance ya ajira zao kwa kuangazia maisha baada ya mkataba kuisha, waswahili walijisemea usiache mbachao kwa msala upitao
 
Tanzania tuna safari ndefu sana. Kikubwa tunahitaji kubadili fikra/mindset. Kuna watu wanaamini mpaka leo kazi ya serikali ndo yenye insurance. Ndo maana watu hawaishi kugombana na serikali waongezewe mishahara..ukiuliza hiyo nyongeza ni shillingi ngapi..hata 10k haifiki! Mimi leo na umri wangu sijawahi kupata kazi yenye mkataba wa zaidi ya mwaka mmoja (sifanyi kazi serikalini). Ila ukimwambia mTanzania anastuka anaona kama ni ndoto isiyowezekana. Yeye anaamini kazi lazima iwe permanent and pensionable :-0. Wakenya, wa-nigeria ni habari nyingine. Nature ya maisha imewafanya hustle ni sehemu ya maisha yao.

Watu wakiwa wanakunywa serengeti lite ya 1500 na kitimoto ya rosti kwa mama Kamche au Kimara.....wanadanganyana mengi sana kuhusu the so called fursa za bongo! Mfano; Uko kitaa cha makumbusho....unamkaribisha mshikaji unayemheshimu mbadilishane mawili matatu....pale brake point..unamnunulia beer za baridi na mchemsho wa kuku..akishiba na jasho limepungua ...anaanza stories zake..hivi vipi mbona cassavaleaves harudi? anafanya nini US? aahh..jamaa mimi simuelewi.. Mwambieni bwana..maisha yapo bongo..fursa zipo hapa hapa.... ukimuangalia kiatu chake kimepigwa vumbi, na suruali yake ya Uturuki au ameshona mwenge kwa fundi maiko..... na maybe pembeni amepack Vitz au toyota Raum ya Japan ya mwaka 2005. Sasa unajiuliza huyu anaulizia maisha ya cassavaleaves ili iweje? Kwani yeye hizo fursa hazioni? Na hapo mkiachana lazima akupige mzinga.

Pia wabongo wengi tuna kasumba ya tukose wote. Ndo maana stories za ufisadi bongo haziishi. ni kweli ufisadi upo, lakini kuna wengi wamekuwa victims tuu simply because wana maisha mazuri au wanaendesha magari mazuri/nyumba nzuri. Wamekwenda kinyume na utaratibu uliozoeleka.

Ukipata opportunities kwenda western countries kama US au Canada ukashindwa maisha..wewe huwezi kufaulu popote. Labda uingie kwenye siasa za CCM ambazo wizi na ulaghai umetamalaki.

On ending note: siku moja napiga story na jamaa yangu kuhusu life nje... nikashare naye fursa ya kazi ya mkataba wa six months ...akasema hawezi kuacha kazi unless mkataba uwe wa five years na kuendelea! Nikajiuliza hivi hii ni akili au ni tope kama la soko la mabibo?
Jamaa yangu Masanja, nakubali kabisa mind set ya wabongo inahitaji kubadilika, especially young generation.Sisi waoga, sio risk taker, hatupendi kuchukua a different path au kufuata msukumo wako wa ndani nini unataka katika maisha.Nimeona hata nyumbani TZ baadhi ya Rafik zangu waliokataa ajira mapema sana baada ya kutoka Chuoni na kufungua kuwa biashara au kufuta njia tofauti na jamii ilivyotarajiwa,wengi walifanikiwa.Swala la kutoka nje ya nchi na kutafuta maisha ni geni na gumu kwa Watanzania wengi, labda siku nyingine nitatoa sababu.Swala la kwamba mbona nyumbani kuna fursa, sikatai, lakini fursa nyingi za nyumbani hasa
zimejaa sana magumashi! Biashara lazima ule na TRA ama umeliwa! Hufiki popote.Fursa za ofisini zimejaa ulaji tu, forgery za procurements, safari, warsha, semina,mikutano isiyo na tija ili Bahasa ziwepo! Kila mtu mlaji,kuanzia mesinja mpaka top boss.Ukiwa nje ya hii loop umekwisha.Ndio maana hata mtu akiteuliwa kwenye position fulani tunasema ameula! Na akianza kula na kuwala tunapiga kelele tumepigwa! Fursa za Marekani ziko wazi ukiwa hapa kihalali.Sijahonga kuupata urai wa Marekani,sijahonga kupata lessening ya gari na biashara, siijui ofisi ya kutoa mikopo ya shule wanangu wamesoma,simjui mtu ofisi yoyote ile watoto wangu wana kazi nzuri! Passport ya Marekani tunaprocees Posta unaipata kwa njia posta! Niambie fura hizo nyumbani.Nimenunua nyumba sijalaliwa na dalali, ni wewe kujua sheria and how buying process operated,Hizo naita fursa.
 
Kipindi Kirefu sana nimefanya kazi za mikataba tena mifupi mifupi Tanzania,kazi nje ya nchi niliipata kwa connection ya expatriate mmoja, ambaye actually aliondoka Tanzania, kanirushia hiyo connection ya kazi na kuniambia kuna kazi West Africa unaweza jaribu! na contract ya Mwaka mmoja tu! Nilijaribu na nilipata! Mwaka mmoja ulizaa miaka! Hiyo ni risk! ambayo wengi wanaogopa kuchukua! La msingi nilikua naangalia nina mahali pa kuishi, familia ina kula watoto wanaenda shule! Na kazi ina insurance ya matibabu, na in case likitokea la kutokea wanaweza kunirudisha bongo kwa gharama zao! Na nikirudi bongo nina mahali pa kujisitiri na nina assets za ku dispose kama natakiwa kujipanga upya. Nilikutana na Watanzania kiasi West Africa...Ghana, Liberia Sierra Leone, kuna kuna baadhi ya wabongo walishachukua route hizo, mimi sikua wa kwanza! Wengine wakitokea Abuja, Malawi, Mali nk

Watanzania wengi wakipata kazi wanapiga kambi hapo! Hasa serikalini, Nilikataa kazi ya serikali toka namaliza chuo! Post ya kwanza ni kwenda Igunga, kwa kifupi kuvaa Kaunda suti, kusimamia ratiba ya kukimbiza mwenge! kumuogopa na kumnyenyekea DC vilinishinda! Na vile vile unagopa kabisa kitoa mawazo yako ya siasa usije kuwa labed huyu si mwenzetu! Ili kufanikiwa lazima uwe wa Kijani! Au uwe mnafiki! kufikiri tu tofauti, hata kama wewe hauko mpinzani kunaweza kukupa shida na ku disturb your career path forever! Najua wenzangu baadhi walifia u RAS, DED nk I dont regret kwa nini nilikimbia huko.

Kwa kifupi Watanzania wengi hawafanyi applications za International jobs, tofauti na wenzetu wa West Africa na Kenya, na vile vile (sijui kama ziko siku hizi- volunteering jobs za UN) Unaanzia chini, mshahara mdogo, lakini unajenga Cv ambayo itakupeleka mbali!

Hivyo jamani kama fursa za Tanzania zimebuma, jaribuni nje ya nchi!
 
Hivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!

Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.

Kuzika hata kwa wazawa wenyewe shughuli pevu sio issue ya wakuja tu gharama kuzika US $10000 - 15000 (makadirio)inategemea na unapoishi kusafirisha bongo $15000-20000( makadirio).Gharama za mazishi kwetu ni nafuu sana kumbuka hata sisi tunatembeza bakuli tena ni kama utamaduni akifariki mtu. Issue ya kuja nyumbani kuzika kuna mambo mengi na sababu zilizojificha ambazo watu hawazisemi, sababu kubwa zaidi ni “makaratasi” mtu akija kuzika ndio imetoka. Issue ya nauli ni ndogo mtu akishindwa kuja kuzika kwa sababu hiyo uzembe wake au hataki tu kwa sababu zake. Wapo diaspora waya mkali sana kuliko walioko bongo halina ubishi. Kuhusu wewe kughairi: katika maisha usiangalie mtu kisa kafeli basi unatoa hitimisho na wewe utafeli kama mtazamo wako ndio uko hivyo utafeli kila kitu fanya utafiti angalia aliyefeli/wanaofeli wamekosea wapi ili na wewe usifeli usifwate mkumbo. Kuhusu kutoboa labda ungetupa maana yako mtu aliyetoboa anakuwa vp kumbuka maana yako kutoboa sio maana ya mtu mwingine tunatofautiana pia Inawezekana labda “circle” yako wengi wamefeli [emoji2369]Hitimisho sio “guarantee” kwamba ukienda mbele ndio umetoboa au utatoboa popote unatoboa nje ndani.
 
Mambo au gharama za mazishi kuzikabili ni insurance tu! Na kama ulivyosema kurudisha mwili bongo ni gharama sana, lakini pia najiuliza kama umekaa Marekani miaka kama Ishirini, na hukua unaenda nyumbani, kwa nini unataka urudishwe maiti. Kwa upande wangu sikubaliani na hili, na hasa kama hukuacha means za kuusafirisha mwili wako. Hii ni changamoto kubwa kwa kila mwana Diaspora, kwa sababu kifo ni hakika kwa kila nafsi, tuko mbali inahitaji mipango.
 
Tanzania tuna safari ndefu sana. Kikubwa tunahitaji kubadili fikra/mindset. Kuna watu wanaamini mpaka leo kazi ya serikali ndo yenye insurance. Ndo maana watu hawaishi kugombana na serikali waongezewe mishahara..ukiuliza hiyo nyongeza ni shillingi ngapi..hata 10k haifiki! Mimi leo na umri wangu sijawahi kupata kazi yenye mkataba wa zaidi ya mwaka mmoja (sifanyi kazi serikalini). Ila ukimwambia mTanzania anastuka anaona kama ni ndoto isiyowezekana. Yeye anaamini kazi lazima iwe permanent and pensionable :-0. Wakenya, wa-nigeria ni habari nyingine. Nature ya maisha imewafanya hustle ni sehemu ya maisha yao.

Watu wakiwa wanakunywa serengeti lite ya 1500 na kitimoto ya rosti kwa mama Kamche au Kimara.....wanadanganyana mengi sana kuhusu the so called fursa za bongo! Mfano; Uko kitaa cha makumbusho....unamkaribisha mshikaji unayemheshimu mbadilishane mawili matatu....pale brake point..unamnunulia beer za baridi na mchemsho wa kuku..akishiba na jasho limepungua ...anaanza stories zake..hivi vipi mbona cassavaleaves harudi? anafanya nini US? aahh..jamaa mimi simuelewi.. Mwambieni bwana..maisha yapo bongo..fursa zipo hapa hapa.... ukimuangalia kiatu chake kimepigwa vumbi, na suruali yake ya Uturuki au ameshona mwenge kwa fundi maiko..... na maybe pembeni amepack Vitz au toyota Raum ya Japan ya mwaka 2005. Sasa unajiuliza huyu anaulizia maisha ya cassavaleaves ili iweje? Kwani yeye hizo fursa hazioni? Na hapo mkiachana lazima akupige mzinga.

Pia wabongo wengi tuna kasumba ya tukose wote. Ndo maana stories za ufisadi bongo haziishi. ni kweli ufisadi upo, lakini kuna wengi wamekuwa victims tuu simply because wana maisha mazuri au wanaendesha magari mazuri/nyumba nzuri. Wamekwenda kinyume na utaratibu uliozoeleka.

Ukipata opportunities kwenda western countries kama US au Canada ukashindwa maisha..wewe huwezi kufaulu popote. Labda uingie kwenye siasa za CCM ambazo wizi na ulaghai umetamalaki.

On ending note: siku moja napiga story na jamaa yangu kuhusu life nje... nikashare naye fursa ya kazi ya mkataba wa six months ...akasema hawezi kuacha kazi unless mkataba uwe wa five years na kuendelea! Nikajiuliza hivi hii ni akili au ni tope kama la soko la mabibo?
Umeongea ukweli mtupu,huwa wadanganyana sana wakishiba makange na Windhook beer utawasikia usa hakuna saving maisha magumu sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa mbona Cleopatra NA Nero wameishi nyakati tofauti kabisa.

Hii kamba hatari sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu nakusifu kwa hiyo challenge. Hongera sana! Ni kweli uko right. Sio Nero bali Julius Caeser. Wakati Julius Caeser alipouawa Cleopatra alikuwa mjamzito. Hiyo Mimba ilikuwa ya mtoto wa kike ambaye aliitwa Thiamusa Urania ambaye alikuwa Queen huko Persia baada ya kuolewa na mfalme wa huko Fart IV.

Mtoto wa Queen Thiamusa Urania aliyeitwa Cleopatra naye aliolewana King
Abgas wa Edessa ambaye ni baba yake Jesus.

Jesephus mwandishi wa Rom alifuta kila kitu kinacho husu King Jesus/Issa kutoka kwenye history ili kumtumia yeye kwa amri ya warumi kama mwana wa mungu ambaye alikuwa maskini. Yesu hakuwa masikini, alikuwa Falme wa Edessa aliyeongoza vita zidi ya warumi huko Judea.

Nazidi kuchimba zaidi history ya Yesu,/Issa ambayo hao caucasians wa Rome walipindisha hiyo historia yake ili wauadae ulimwengu. Wametumia concept ya wa misri kama base ya ya dini yao ya kikristo ili kuwa na power kwenye makoloni ya warumi wakatinule.

Haya ndiyo mambo yanayo watesa wazungu wenyewe na sisi kwa ujumla mpaka sasa. Tukitahidi kuondokana na uongo huu ili tuweze kujitambua na kupiga hatua katika maendeleo yetu. Bila hilo hatutakuwa na ufahamu wa maisha yetu..
 
Umeongea ukweli mtupu,huwa wadanganyana sana wakishiba makange na Windhook beer utawasikia usa hakuna saving maisha magumu sana
Si lazima mmoja avishwe vazi la uongo ndo mmoja aonekane ni mkweli, katika hili naamini wote wanaweza wakawa wa kweli, kila mtu aweza kuwa ame-experience hali tofauti katika mazingira tofauti katika nyakati tofauti, anayeishi ARKANSAS kwa 4000$ hawezi kuwa sawa na anayeishi NEW YORK katikati kwa kipato hichohicho, maisha ni kupanga na kuchagua
 
Huu uzi naomba ufike mbali,Natamani kuchangia lakini ngoja niwaachie wenye experience.Asante!
Changia unachoweza, lengo ni kuhabarishana, na mimi binafsi Nia yangu ni kuonyesha kuna maisha nje ya Tanzania.Vijana wanalalamika ajira, mitaji, hawana connection nk.try another route kama una guts na ni risk taker, Sisemi nje ya nchi ni rahisi, lakini inawezekana.Ni kweli kuna watu wanaona Diaspora wame lost, hawana kitu nakadhalika, hawajui kuna Diaspora wanye uraia wa US, na nchi yetu kwa Sasa hairuhusu, sasa ukimwaga pesa kwa nunua assets kama land au biashara your not protected by the law, hivyo watu wanafanya kichini chini au kutumia jamaa na ndugu, nayo ni risk vile vile.Nawajua Watanzania wenye pesa US, na wakitaja Tanzania wana keep low, waliingia nchi hii bila kitu, lakini wakatumia opportunities za US na kufanikiwa.Hilo ndilo lengo langu kwenye uzi huu.
 
Mawazo ya Kikomnisti yanaitesa sana Tanzania, unayaona katika mambo mengi, Sera za uwekezaji, uraia pacha nk.Nakumbuka nilipokuwa nimepata kazi nje ya Tanzania nilikwenda kumuaga Proffesor na Rafik yangu tuliyekuwa na chuo, akaanza kuniuliza Je Serikali imekupa kibali cha kuondoka nchi, nikamwambia mimi si mfanyakazi wa serikali, akanijibu haiwezekani tu undone nchini bila ruhusa ya serikali hata kama hufanyi kazi serikali, akashikilia lazima iwepo Sera! Nilishtuka sana msomi kama huyo kuwa na mawazo mgando! Kwake yeye Serikali ndio baba ndio Mama, kutoka na kutafuta maisha nje ya Tanzania ni uasi na kukosa uzalendo! Na ndio mawazo ya Watanzania wengi.Unashangaa Wakenya wanahangaika nje, anarudi kwao anagombea ubunge, hawezi kuwa Rais tu! Kwetu sisi utaambiwa Mara unatumika na mabeberu nk.! Kuwa nje hakuondoa utanzania wangu! Na kusinizue nitrate ndoto zangu popote ulimwenguni.
Mawazo mengi ya watanzania ndo yanakuwa hapo.

Wenzetu wanatoka kutafuta, sisi tunaridhika na vitu vidogo.
 
Changia unachoweza, lengo ni kuhabarishana, na mimi binafsi Nia yangu ni kuonyesha kuna maisha nje ya Tanzania.Vijana wanalalamika ajira, mitaji, hawana connection nk.try another route kama una guts na ni risk taker, Sisemi nje ya nchi ni rahisi, lakini inawezekana.Ni kweli kuna watu wanaona Diaspora wame lost, hawana kitu nakadhalika, hawajui kuna Diaspora wanye uraia wa US, na nchi yetu kwa Sasa hairuhusu, sasa ukimwaga pesa kwa nunua assets kama land au biashara your not protected by the law, hivyo watu wanafanya kichini chini au kutumia jamaa na ndugu, nayo ni risk vile vile.Nawajua Watanzania wenye pesa US, na wakitaja Tanzania wana keep low, waliingia nchi hii bila kitu, lakini wakatumia opportunities za US na kufanikiwa.Hilo ndilo lengo langu kwenye uzi huu.
Itoshe tu kusema unachoongea ni ukweli.kuna watakao kuelewa na wasio kuelewa.wote wanasababu zao.Ila usiache kuwaelewesha.Asante!
 
Mawazo mengi ya watanzania ndo yanakuwa hapo.

Wenzetu wanatoka kutafuta, sisi tunaridhika na vitu vidogo.
Mimi mpaka leo naamini kabisa, kijana mwenye nguvu uliyechomoka kijijini ukaja mjini ukapata hii elimu yetu ambayo naweza sema ni half baked education (ambayo haikupi skills za aina yoyote-by the way siikandii hii elimu maana na mimi ni product ya mfumo huo huo...;-), kwa nini ushindwe kujiongeza kutafuta fursa nje ya mipaka ya Tz?. DAIMA TAMBUA, maendeleo ni juhudi binafsi. Ukiona akina Bavaria wanaongelea magari ya BMW au AUDI ya 100k USD wengine wanaona kama jamaa anajidai au ni utani! Lakini hivi ni vitu vya kawaida kwa wenzetu. Hivi kweli mshahara wa laki tano hardly dola mia mbili unategemea uendeshe BMW bila kuiba hela ya umma?

My point, is hakuna maisha marahisi popote pale. tunachokiongelea kuhusu US, Canada na kwingineko ni mifumo rafiki ambayo unaweza kuitumia ukapambana ukafanikiwa. Imagine bongo unafungua business. Ole wako DC au OCD waje kuomba/kuchukua hela ya mwenge au hela ya mafuta kufanya doria ukatae! utaundiwa figisu mapaka biashara zako zitakufa. Haya yote wote tunayajua na tumewaona victims wengi tuu. lazima ule na TRA! Kufungua kampuni tuu kuna utitiri wa regulators zaidi ya 30!

Kingine; watanzania tunachagua sana kazi. Nawajua watu wameenda nje kusoma..wamesafisha vyoo sana, wameendesha mabasi, wamedeki barabara sana, wamesafisha wazee sana (kazi zote ambazo wabongo wanaona ni za aibu watu wamezipiga na wanazifanya), but guess what? majority ya hao watu sasa hivi wanaishi maisha mazuri na ndo nguzo ya familia zao bongo! Hata humu wamo wengi tuu.

Hivi mnaposikia jamaa wamezamia mnaelewa nini? Kuna kazi nyingi sana za upishi na uyaya huko Middle East. Kuna kazi kibao za ulinzi huko kwenye mainchi yenye vita.....bongo ukiongelea kazi Saudi Arabia ya Uyaya watu wanakimbilia stories za kunyanyaswa nk. which I agree. Lakini pia, kuna success stories! kuna watu wameenda huko kutafuta maisha na wamefanikiwa vizuri tuu. Same na South Africa. Kuna ubaguzi na crime rate kubwa. Bongo watu wana-focus kwenye hizi changamoto. Lakini pia kuna success stories huko South haziongelewi! US watu wana focus kwa Trump na BLM wanachokiona CNN! Lakini mzee US ni nchi ya fursa dunia nzima! Ni ngumu kulielewa hili bila kuingia ukaona.

Kikubwa serikali iache umangi meza kutoa passports it should encourage its citizens waende nje wapate uraia na permanent residences! Hawa kesho na keshokutwa watoto wao utawakuta kwenye system na nafasi nyeti kwenye hizo nchi. Angalieni wahindi wanavyochomoza US...ukiangalia nafasi nyeti hata kwenye cabinet ya Biden kuna wahindi wengi tuu! its not by accident! angalia makampuni makubwa ya google nk...wahindi wamejaa! angalieni wanigeria. Angalieni wakenya. Usije ukashangaa mtoto wa mpiga box alikimbia bongo anateuliwa kuja kuwa balozi wa US Tanzania! Kwa wenzetu yote yanawezekana. Hawa ndo wanakuja kuwa mabalozi na kuzipigania nchi za wazazi wao.

waTanzania popote tulipo. Tubadilike na tubadilishe mindset!
 
Jamani inanisikitisha unakuwa job,halafu mtamtanzania peke yako.west kibao,wahindi ndo usiseme,wakenya nao.vijana wenzangu mnaotaka na nia ya kutoka tz,tokeni msiogope.ukiwa nidhamu na juhudi ya kazi lazima utoboe mpka ushangae.Asante masanja umemaliza yote!!
 
Back
Top Bottom