Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

Zamani nilisoma vitabu Hasa kitabu kiliitwa TAKADINI story inakufanya usome kwa umakini sana kama story hii nikweli sio Zakifikirika bc Inatubidi tutulie nchini kwetu
 
Heeeee....asa mbona una jazba?? Wabongo bana!

Kwahiyo kumuona huyo binti kanawiri hapo kanisani ukaconclude kuwa katoboa daah!
 
Heeeee....asa mbona una jazba?? Wabongo bana!

Kwahiyo kumuona huyo binti kanawiri hapo kanisani ukaconclude kuwa katoboa daah!
Jazba ipi tena boss wangu?! Si umeuliza swali, na nilichofanya ni kukujibu tu.

Kuhusu huyo binti ni kuwa kanisa la Bushiri lenye kuingiza watu zaidi ya laki1 ktk ibada si kila mtu anapata VIP seat. So, tunaAssume mtu anayekaa VIP basi anakuwa na hadhi fulani hivi.
Pia tuwe wakweli mtu aliyeotea life ukimuona hata huitaji kuuliza, utajua tu kwa muonekano wa kwanza.
 
Siku moja mida ya saa tano usiku, nikaita taxi bana maeneo ya Sandton hapo hapo si akaja mtu (Botswana) hajui hata ninaelekea wapi afu ni hotel maarufu tu. Nilidata mfukoni nina dollar 10,000 nikasema ndo mwisho wangu leo. Nilipoona haeleweki nikasepa kwa mguu fasta
 
Bixente Lizarazu left full back ya uhakika France 98. Anyway kule kwenye michezo ndo kunatufaa sanaaa mdau ingawa jamaa kaleta bonge la shule hapa wengine wanazingua

Ebana ndio mimi makushoto lizarazu left-back bora kabisa tangu dunia inaanzishwa ambae bado sijapata mrithi tangu nistaafu.

Tukutane baadae kwenye NBA katika warriors na spurs game 2.

Huu Uzi wa ONTARIO utumie kama blueprint kwa ile safari yako ya south.
 
Uliyoandika Yote Ni Kweli. Niliishi Sauzi Miaka 3 na nilijionea hayo - tena kuna mazito zaidi ya hayo. Ila Kuna Kitu Hukuandika - Wengi Wakirudi Bongo Likizo Huwa Wanapewa Mzigo (Wajanja Mtanielewa) - Wanaambiwa Kusafiri Mkavu (Ndio Hutumia Lugha Hiyo - Yaani Kusafiri Bila Kubeba) ni hasara..... Na pia kwenye magereza wapo wengi sana, zaidi ya mia 5
 
Hahaha hatari sana wachache sana tuliobarikiwa kuutazama na kuuelewa vema mpira wa miguu ndo tunaweza kumjua huyo mtu na kumuelewa, hawa kizazi cha kina Dan Alves na Macelo hawawezi kutuelewa.

BTW mkuu heri njaa ya nyumbani kuliko ugenini, na mimi ni muumini mzuri tu wa wahenga na niliwaelewa sana waliposema "zimwi likujualo halikuli likakwisha"

Mkuu, "EAST OR WEST, HOME IS THE BEST"
 
UDSM mafuta na gas vipi mdau?
 
UDSM mafuta na gas vipi mdau?

Mkuu UDSM umeshamaliza ile course ya mafuta na gas? Na vipi zile milioni 19 ulizotengeneza kwa siku 35? Hujafika bilioni?

By the way,story nzuri yenye mafunzo.
Boss! huu uzi sitoi kiki kama uzi ule, so km leo unatafuta exposure kupitia mimi bora ulale tu ndugu yangu.

Cheers!
 
Na hayo ndo yatakuwa maisha ya wabeba box walio wengi! Ndiyo maana hata kesi za kuolewa wanaume wa kiafrika/Tanzania zipo nyingi sana!
Asikuambie mtu, fursa nyingi zipo nyumbani bongo!
Nchi za watu nenda na hela zako tu ukale maisha otherwise....
 
Hongera kwa stories nzuri. Nitajihidi wanangu wasome wafike huko nashuka ulaya
Boss elimu ni mali, wape vijana shule lkn wakati huo huo waoneshe muonekano mpana wa dunia ili wasije kuwa wasomi wa kutumikishwa na watawala, wakaishia kuwa km Prof. Lipumba. Naamini wakitia nia thabiti, elimu itawafikisha mbali zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…