Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,378
- 1,045
nikipata nauli nitaenda na mim sku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii habari ya kuuliza uliza utaleta noma. Nakumbuka kipindi cha nyuma jamaa alieliezea maisha ya miji mbali mbali ya USA, akaulizwa vipi Development, akasema pale development nimekaa miezi 3.

Itakuwa hajakutana nao naonaStory nzuri ila pia kuna wabongo wengi wamewini maisha japokuea wengine walienda kwa mguu ila mpàka sasa wanainvestment kubwa tu huko
ukwamba ukinijibu uliwezaje kusoma gas na mafuta ambayo ni course mpya mpya UDSM kisha uwe South unasoma mimi nitakuwa nimepata kiki?Boss! huu uzi sitoi kiki kama uzi ule, so km leo unatafuta exposure kupitia mimi bora ulale tu ndugu yangu.
Cheers!
Mkuu samahani km nimekukwaza hapo awali, soma vzr comment yako - imekaa kama sarcasm (kejeli), so I was safeguarding myself.U
ukwamba ukinijibu uliwezaje kusoma gas na mafuta ambayo ni course mpya mpya UDSM kisha uwe South unasoma mimi nitakuwa nimepata kiki?
Wewe ,barafu na Mayalla ni moja ya watu ninaowakubali sana kwa uwasilishaji bora ila hujanijibu kiungwana.
Mkuu UDSM umeshamaliza ile course ya mafuta na gas? Na vipi zile milioni 19 ulizotengeneza kwa siku 35? Hujafika bilioni?
By the way,story nzuri yenye mafunzo.
Hahaha hatari sana wachache sana tuliobarikiwa kuutazama na kuuelewa vema mpira wa miguu ndo tunaweza kumjua huyo mtu na kumuelewa, hawa kizazi cha kina Dan Alves na Macelo hawawezi kutuelewa.
BTW mkuu heri njaa ya nyumbani kuliko ugenini, na mimi ni muumini mzuri tu wa wahenga na niliwaelewa sana waliposema "zimwi likujualo halikuli likakwisha"
Mkuu, "EAST OR WEST, HOME IS THE BEST"
KATIKA HILI HAKUTUTENDEA HAKI HUYU MHESHIMIWA, ALIYO YA ZUNGUMZA MENGI NI SAHIHI ILA SI KWAMBA WOTE TULIO HAPA TUPO HIVYO INAWEZA LIKAWA NI KOSA LA MWENYEJI WAKO AU NI MAKUSUDI TU! 0733318248 TUWASILIANE UJE NYUMBANI TAFADHALI.Ontario..
Inamaana hukuona mbongo yeyote Mwenye life la uhakika?
MH!Akikujibu fanya kunitag mkuu
SwadaktaaaaStippers ninao wakubali ni wale wa the summit,wengine wote tupa kule! Wabongo waliotusua wapo kibao pia ila ni wale wenye shughuli rasmi zinazofahamika.
Itabid nifanye mchakato nije nikusalimieKATIKA HILI HAKUTUTENDEA HAKI HUYU MHESHIMIWA, ALIYO YA ZUNGUMZA MENGI NI SAHIHI ILA SI KWAMBA WOTE TULIO HAPA TUPO HIVYO INAWEZA LIKAWA NI KOSA LA MWENYEJI WAKO AU NI MAKUSUDI TU! 0733318248 TUWASILIANE UJE NYUMBANI TAFADHALI.
Unanikumbusha mbali sana mkuu enzi za kubandika stick za wachezaji kwenye madaftari yaliyoisha. Bring back those days of golden goal. I still have image ya David Trezeguet anawatungua wataliano Euro 2000. Dammmnn!! where are those days!!!Hawa kizazi cha Leo hii hata Roberto Carlos walimjulia kwenye sticker za jojo sababu ya umaarufu wake. Kweli zamani tulifaidi sana.
Hayo maneno ya wahenga ni kweli likujualo halikumalizi ila likiamua kukutesa uvumilivu utakushinda na hatimae utakilimbia... Kwa hiyo mkuu tuendelee kuisoma tu hapa kwenye nchi yenye bikira ya uchumi bila kufanya extra trial yoyote!?
Nina rafiki/brother kutoka Mbeya yupo hapo Gauteng ni mwalimu mwa Nursery school, ila mshaara wake ni sawa na anaochukua CEO wa TANESCO. Na sio yeye tu kuna modelling designers ambao wako well off.
Ninachoweza kukwambia ni kuwa "EXPERIENCE IS A BEST TEACHER"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yereeeuuwwwwiiiiii!Hii habari ya kuuliza uliza utaleta noma. Nakumbuka kipindi cha nyuma jamaa alieliezea maisha ya miji mbali mbali ya USA, akaulizwa vipi Development, akasema pale development nimekaa miezi 3.