Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

Bado hujawa tayari kutunza na kuendesha familia, mwanaume gani unakuwa na assumotions dhaifu kiasi hicho[emoji849][emoji849]

We bado kivulana fulani hivi kinachoogopa majukumu fullstop
Toka hapa
 
Hata mimi singo maza, hapana, yaani anogewe na kusukumiwa nyama huko , aniletee matatizo, kwakweli warembo wengi mtaani.
 
Kama umempenda Muweke ndani...

Uyo baba watoto we zoea TU kukulia akimlilia shida...it's basic principle..Ila hatomchukua kamuacha for a reason...Tena Bora wew unajua analiwa na kimeo kilichomuacha kuliko akachepuka na wakulungwa
 
Mbona hatari hiyo mkuu..
 
Hiyo simple tu kama umempenda na yeye kapenda halafu mzazi mwenzie ndo kikwazo basi unamuua huyo mzazi mwenzie ili mbaki muishi kwa amani
 
Usidanganyike mwaya.
Tafuta zako asie na mtoto (anaweza kuwa kashatoa mimba za kutosha but so what 😏) myajenge kisha mmalize kila kitu.

Akija kukusumbua mnaachana na yeye anakuwa single mother....atapata jamaa mwingine mbele kwa mbele na yeye aje kuumiza kichwa anakutoaje "baby daddy" kwenye picha 🤓

FULL CIRCLE ⭕
 
Ni inferiority complex tu, mwanamke ni wewe mwenyewe tu utakavyomseti.

Kama ana pepo la ngono atamegwa tu kama kawaida haijarishi umemkuta hana mtoto au anaye.

Kuna wenzako wanatamani wangeowa mwanamke ambaye ameshazaa ili kuwa na uhakika wa kupata watoto, kuna ndoa miaka 20 sasa hawajabarikiwa kupata mtoto au watoto, yani hapo umeuziwa mbuzi kwenye gunia, kitoto tangu form kinachurupuwa mimba mpaka anamaliza chuo na kizazi kimeshaharibiwa.

Hii dunia ina mambooo.
 
Kuna wanawake wengine wakizaa nyonga inazidi kutanuka basi mahips hayo, mzigo huo,kuna binti mtaani alikuwa mwembamba shape ya kawaida ila baada ya kujifungua kabadilika kimaumbile shape hiyo.
 
Kuna wanawake wengine wakizaa nyonga inazidi kutanuka basi mahips hayo, mzigo huo,kuna binti mtaani alikuwa mwembamba shape ya kawaida ila baada ya kujifungua kabadilika kimaumbile shape hiyo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwa hiyo humu nyie wanaume wanawake wote mlowazalisha mmewaoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…