Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Nimezaa na Mwanamke Mzuri Mrembo kwa sasa anaishi na mume wake ila mwanangu nilimuacha kwa Bibi yake yani mama angu kila shule zikifungwa huja kumuona akitoka huko hupitia mkoa niliopo na mimi naaga kwa wife, Tunachukua lodge kama siku mbili tunakumbushia enzi izo, Yote yote kwa yote Muogope mwanamke alie amua Kubeba mimba kuacha kuitoa mpaka akazaa na kulea huyo lazima amempenda alie mzalisha ndio mana kambebea mimba