Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Maisha huku Mars wanategemewa kuwa mazuri mno. Ukiingia hutatamani kurudi Duniani.
Image source ☝️☝️☝️
ChaiView attachment 3551384
Maisha huku Mars wanategemewa kuwa mazuri mno. Ukiingia hutatamani kurudi Duniani.View attachment 3551385
Simulation done by NASA na Space XHio ni Mars au Sayari ya AI?, AI kawa fala sana siku hizi anaweza akachongesha picha au video ikimuonyesha mkeo akiwa anafanywa kitu mbaya na wahuni
Life on Mars: Here's what the planet's first city might look likeHio ni Mars au Sayari ya AI?, AI kawa fala sana siku hizi anaweza akachongesha picha au video ikimuonyesha mkeo akiwa anafanywa kitu mbaya na wahuni
Tinaomba maelezo ya kutosha hapo umesema kwenda na kurudi maana yake nini?Mpango wa hivi karibuni unaonesha itachukua miaka 3 kwenda na kurudi kwa teknolojia iliyopo.
Yeah japo walipredict by 2050 watu watakuwa huko if SpaceX mission itafanikiwa itapendeza sana kwa watu watakao fika huko.Mambo mazuri sana ila sijui kama tutakuwa hai kipindi hicho.
Kuna mipango mingi sana ya kufikia Mars imeshindikana.
Mpango wa hivi karibuni unaonesha itachukua miaka 3 kwenda na kurudi kwa teknolojia iliyopo.
It takes 6 to 9 month kwenda bado kurudi inachukua karibu huo muda.Tinaomba maelezo ya kutosha hapo umesema kwenda na kurudi maana yake nini?
Safari ndefuIt takes 6 to 9 month kwenda bado kurudi inachukua karibu huo muda.
Ukitua Mars inabidi u refuel rocket kwaajili ya kurudi pia kusubiri Dunia na Mars iwe kwenye orbit moja ndio uende maana huwa safari haipo direct inafuta orbit ya planet husika.
Sana ni parefu.Hio safari ni ndefu sio kitoto
Hio itachukua miaka million ngapi kutimia?Sana ni parefu.
Japo mashaka ya kuishi Mars suala kubwa ni Gravity maana kule gravity ni about 3.7m/s² wakati duniani 9.8m/s² physical activities ya kule ni tofauti kwasababu ya low gravity na pia itabidi watu waishi kwenye ma container ili kujikinga na radiation ukitoka tu nje uwe umevaa space suites.
Itabidi watu waishi hivi kwa miaka hadi terraformation ifanyike Mars iweze kusupport life without hiding.
Sio mbali sana ila nadhan wapo kwenye experiment. Issue ya gravity ni critical sana, gravity ya Mars inaweza kusababisha retardation kwa watoto wanaozaliwa na watu wa huko watakuwa weak sana.Hio itachukua miaka million ngapi kutimia?
Kwa hio haiwezi kuvuka miaka 50 tutakua tupo Mars?Sio mbali sana ila nadhan wapo kwenye experiment. Issue ya gravity ni critical sana, gravity ya Mars inaweza kusababisha retardation kwa watoto wanaozaliwa na watu wa huko watakuwa weak sana.
Though kupitia technology wanaweza kuunda mifumo ya kusabilize a lot issues pengine hata gravity.
😂Elon Musk mwenyewe alisema hatakufa duniani ataenda Mars. Roughly miaka michache mbele watu wataenda Mars. Ingawa hadi sasa hamna mwanadamu amewahi kufika huko.Kwa hio haiwezi kuvuka miaka 50 tutakua tupo Mars?
Hakuna aliefika hakuna life support machine kule ni tope jekundu la moto muda wote, sio Mars tu hata mwezini hakuna aliewahi kufika tulidanganywa na wale wataalamu wa kucheza movie Hollywood kwamba walifika mwezini kumbe walikua wanatengeneza movies tu na kufanya biashara ya filamu😂Elon Musk mwenyewe alisema hatakufa duniani ataenda Mars. Roughly miaka michache mbele watu wataenda Mars. Ingawa hadi sasa hamna mwanadamu amewahi kufika huko.
😂Vitu vingi huwa tunadanganywa hii issue ya mwezi hamna aliyewahi kukanyaga mwezini. Robot ndio zimefanikiwa kufika kwenye hizo sehemu ila sio watu.Hakuna aliefika hakuna life support machine kule ni tope jekundu la moto muda wote, sio Mars tu hata mwezini hakuna aliewahi kufika tulidanganywa na wale wataalamu wa kucheza movie Hollywood kwamba walifika mwezini kumbe walikua wanatengeneza movies tu na kufanya biashara ya filamu
UmejuajeUkiingia hutatamani kurudi Duniani.