Maisha katika sayari ya Mars yatakuwa exciting sana

Maisha katika sayari ya Mars yatakuwa exciting sana

Sio mbali sana ila nadhan wapo kwenye experiment. Issue ya gravity ni critical sana, gravity ya Mars inaweza kusababisha retardation kwa watoto wanaozaliwa na watu wa huko watakuwa weak sana.

Though kupitia technology wanaweza kuunda mifumo ya kusabilize a lot issues pengine hata gravity.
If am not mistake, Elon ALIDAI I wame cancel mpango WA mars KWA Sasa SABABU ni ghali SANA na inahitaji MUDA ila akadai focus ya Sasa ni mwezini, HUKO NDO wanataka kumpeleka binadamu akaishi
 
If am not mistake, Elon ALIDAI I wame cancel mpango WA mars KWA Sasa SABABU ni ghali SANA na inahitaji MUDA ila akadai focus ya Sasa ni mwezini, HUKO NDO wanataka kumpeleka binadamu akaishi
Kwenye recently interview yake bado yupo na ndoto ya kufia sayari ya Mars. Soon SpaceX inaanza research zake huko.
 
Tumeshindwa kutengeneza dunia yetu yenye maji na uoto wa asili tunawaza sayari yenye vumbi.

Mawazo kama haya ndio yanafanya watu kujitoa mhanga ili waeende peponi wasipopajua na kuacha madhara kwenye dunia na simanzi kwa ndugu zao.
 
😂Aim ya kwenda huko ni kwasababu huwezi kutengeneza dunia yenye watu wengi hivi wote mka agree. Labda marekani akitengeza mazingira China ana-pollute. Pia the main issue ya kufanya maisha kuwa multiplanetary life ni janga lolote linaweza kutokea mfano Asteroid ikasambaratisha dunia, magonjwa ya pandemic, kushindwa kuhandle nuclear, matumizi ya mabomu ya nuclear kwahiyo bila kuwa na maisha katika sayari mbili tofauti Kuna uwezekano tuka-end maisha ya binadamu kupitia any of calamity or problem.
 
Sayari ya Mars hakuna kiumbe hai hivyo hakuna Oxygen
au unaenda kujitengnezea Oxyen yako ndio uishi kwa raha
Inawezekana oxygen ikatengenezwa from carbon dioxide pia Kuna maji. Kwhy kutakuwa na machine zitakazo Tengeneza oxygen safely without issue.

Lengo ni terraformation ya Mars viumbe hai waweze kuishi it can even take a century to reach this.
 
Habitable Earth planet ndio Sayari nzuri kuliko sayari yoyote maana binadamu na Mazingira tupo connected,
Kiukweli binadamu wakienda kuishi Mars watafeel wapo Jela na watatamani kifungo kiishe warudi kwenye asili yao,kama huamini uliza wale mabedui wanaokaa jangwani ile feelings wanapata wakiona ukijani kwenye OASIS ndio utajua nini nasema!
 
Hatujajua japo even earth is believed to involve over years. Na pia Kuna hatari miaka ijayo duniani kusiwe na chochote, earth will just be like Mercury or Venus.

Lakini tuki-terraform Mars pengine tuta save humanity on upcoming years. Mwanzo wa Mars kutakuwa kugumu but after terraformation, maisha yatakuwa normal.
 
Hio ni Mars au Sayari ya AI?, AI kawa fala sana siku hizi anaweza akachongesha picha au video ikimuonyesha mkeo akiwa anafanywa kitu mbaya na wahuni
That's one of the reasons I hate AI. Artificial Intelligence ni takataka isiyo na afya kwa ubongo wa Mwanadamu mwenye akili.
 
Back
Top Bottom