let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
na Kuna wakati waislam watakwenda uko kukinukisha piašš¢
Your too stupid arguing about the tool instead of thinking AI as a tool that can help you to learn, imagine, and solve problems.That's one of the reasons I hate AI. Artificial Intelligence ni takataka isiyo na afya kwa ubongo wa Mwanadamu mwenye akili.
Huko ni kwa ma Atheistna Kuna wakati waislam watakwenda uko kukinukisha piašš¢
We mpumbavu na Kiingereza chako cha kijinga jinga unaona umepatia maisha kutumia AI.Your too stupid arguing about the tool instead of thinking goes a tool can help you to learn, imagine, and solve problems.
The images you see are from BBC zimekuwa simulated since 2021 AI wakati huo hata reasoning ilikuwa very weak.
Bro let's be honest, it's about how you use AI. Kaka ni namna gani unatumia AI, kuna mtu anatumia for positive impact na mwingine anatumia vibaya especially kutegemea kwa kila kitu.We mpumbavu na Kiingereza chako cha kijinga jinga unaona umepatia maisha kutumia AI.
Yaani wewe hapo ulipo una intelligence yako halafu unaona haitoshi, so unaanza kutegemea artificial one hadi unakuwa zezeta.
Watu kibao wenye akili zao sasa wanailalamikia AI. Huko Universities madogo hawaumizi kichwa, jambo dogo tu wamekimbilia kwenye AI kutafuta majibu. Sidhani kama akina Aristotle wangetumia huu upuuzi.
Juzi hapa Daktari Bingwa wa Mifupa kutoka MOI alikuwa anawapa shule Madaktari wa hospitali X, alikuwa anawafanyia mentorship. Aliwashutumu sana kurely on AI kwa matibabu ya wagonjwa. Namkumbuka alipowashauri wasiitegemee AI maana imekuwa inawalisha matango pori.Bro let's be honest, it's about how you use AI. Kaka ni namna gani unatumia AI, kuna mtu anatumia for positive impact na mwingine anatumia vibaya especially kutegemea kwa kila kitu.
Maisha ni kuchagua unatumia AI kwa positive impact au negative