BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
If am not mistake, Elon ALIDAI I wame cancel mpango WA mars KWA Sasa SABABU ni ghali SANA na inahitaji MUDA ila akadai focus ya Sasa ni mwezini, HUKO NDO wanataka kumpeleka binadamu akaishiSio mbali sana ila nadhan wapo kwenye experiment. Issue ya gravity ni critical sana, gravity ya Mars inaweza kusababisha retardation kwa watoto wanaozaliwa na watu wa huko watakuwa weak sana.
Though kupitia technology wanaweza kuunda mifumo ya kusabilize a lot issues pengine hata gravity.
MWENYE mradi wake Elon, Ali cancell KWA Sasa WANAANGALIA kwenda mwezini nakupeleka binadamu hukoKwa hio haiwezi kuvuka miaka 50 tutakua tupo Mars?
Ali cancell, akadai KWA Sasa ni kwenda mwezini😂Elon Musk mwenyewe alisema hatakufa duniani ataenda Mars. Roughly miaka michache mbele watu wataenda Mars. Ingawa hadi sasa hamna mwanadamu amewahi kufika huko.
Unashadadia upumbavu!View attachment 3551384
Maisha huku Mars wanategemewa kuwa mazuri mno. Ukiingia hutatamani kurudi Duniani.View attachment 3551385
Una uhakika ni upumbavu. Unajua lengo la multiplanetary life ni nini?U
Unashadadia upumbavu!
Mwezini haiwezekani hamna atmosphere, na Gravity ni ndogo mno kuleAli cancell, akadai KWA Sasa ni kwenda mwezini
Kwenye recently interview yake bado yupo na ndoto ya kufia sayari ya Mars. Soon SpaceX inaanza research zake huko.If am not mistake, Elon ALIDAI I wame cancel mpango WA mars KWA Sasa SABABU ni ghali SANA na inahitaji MUDA ila akadai focus ya Sasa ni mwezini, HUKO NDO wanataka kumpeleka binadamu akaishi
A promise SpaceX Inatoa, Kuna watu baada ya kwenda watatamani kubaki huko huko.Umejuaje
😂Aim ya kwenda huko ni kwasababu huwezi kutengeneza dunia yenye watu wengi hivi wote mka agree. Labda marekani akitengeza mazingira China ana-pollute. Pia the main issue ya kufanya maisha kuwa multiplanetary life ni janga lolote linaweza kutokea mfano Asteroid ikasambaratisha dunia, magonjwa ya pandemic, kushindwa kuhandle nuclear, matumizi ya mabomu ya nuclear kwahiyo bila kuwa na maisha katika sayari mbili tofauti Kuna uwezekano tuka-end maisha ya binadamu kupitia any of calamity or problem.Tumeshindwa kutengeneza dunia yetu yenye maji na uoto wa asili tunawaza sayari yenye vumbi.
Mawazo kama haya ndio yanafanya watu kujitoa mhanga ili waeende peponi wasipopajua na kuacha madhara kwenye dunia na simanzi kwa ndugu zao.
Ngoja tuone.
Kwenda na kurudi maana yake ni kwenda na kurudiTinaomba maelezo ya kutosha hapo umesema kwenda na kurudi maana yake nini?
Sayari ya Mars hakuna kiumbe hai hivyo hakuna OxygenView attachment 3551384
Maisha huku Mars wanategemewa kuwa mazuri mno. Ukiingia hutatamani kurudi Duniani.View attachment 3551385
Inawezekana oxygen ikatengenezwa from carbon dioxide pia Kuna maji. Kwhy kutakuwa na machine zitakazo Tengeneza oxygen safely without issue.Sayari ya Mars hakuna kiumbe hai hivyo hakuna Oxygen
au unaenda kujitengnezea Oxyen yako ndio uishi kwa raha
Innaweza kusafiri kwa muda gani kwenda hiyo sayari ya Mars kwa kutumia pikipiki ya kichina aina ya "Jinyee* (not joke) ?Safari ndefu
Hatujajua japo even earth is believed to involve over years. Na pia Kuna hatari miaka ijayo duniani kusiwe na chochote, earth will just be like Mercury or Venus.Habitable Earth planet ndio Sayari nzuri kuliko sayari yoyote maana binadamu na Mazingira tupo connected,
Kiukweli binadamu wakienda kuishi Mars watafeel wapo Jela na watatamani kifungo kiishe warudi kwenye asili yao,kama huamini uliza wale mabedui wanaokaa jangwani ile feelings wanapata wakiona ukijani kwenye OASIS ndio utajua nini nasema!
That's one of the reasons I hate AI. Artificial Intelligence ni takataka isiyo na afya kwa ubongo wa Mwanadamu mwenye akili.Hio ni Mars au Sayari ya AI?, AI kawa fala sana siku hizi anaweza akachongesha picha au video ikimuonyesha mkeo akiwa anafanywa kitu mbaya na wahuni