Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Hali tight sana na kwatuliomaliza vyuo aisee cio powa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uliomaliza Kusoma Au ushauri wangu kwa waliomaliza kusoma Jaribu kuwa creative kubuni kitu ambacho pengine kinaweza kukuongozea kipato At kidg kwa siku Usikae ndani toka zunguka maeneo yenye mchanganyiko wa watu pengine akili inaweza ikazalisha kitu kutokana na elimu uliokuwa nayo Na Allah akakusaidia kwa uwezo In shaa AllahHali tight sana na kwatuliomaliza vyuo aisee cio powa.
No wonderNina wake wanne mkuu
Hasa majobless aisee unawez taman utoke kweny uso wa dunia.Asikwambie mtu hii experience.
Aseee, Ongeza wawili hali itakuwa poaaNina wake wanne mkuu
[emoji23]Umeoa ?
Yaendelee tu kuwa magumu ilimkome kuchagua viongozi wasiojali maslahi ya wananchiJamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka,ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana..hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo..
Hatuli vizuri,hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri...kuna kundi kubwa la watu wanarudisha mpira kwa kipa(wanarudi kijijini)...mijini hakukaliki,kila siku afadhali ya jana!
Biashara haziendi ,mikopo hailipiki madeni kila kona...stress tupu...hivi kwa hali hii nguvu za kiume zinatoka wapi? Usiku usingizi hauji ni kuwaza tu..hata hamu ya kula "chakula cha usiku" utaitoa wapi? Barabarani unapishana na mtu anaongea peke yake..
Hebu tupeane mbinu wakuu,wale wanaokesha kitambaa cheupe na kule bandarini kila siku meli zinaleta magari wanafanyaje? Yaani kama adhabu kumbe ndio maisha yenyewe.
Nimecheka sana hahaha wewe ushaathirika na itikadi zako za KATAA NDOA...kwani ugumu wa masha na challenges za maisha mitihani na matatizo yanawapata married pekee yao tu????Umeoa ?
Brother noma, hapa na hustle kupata hata kibarua tu yani [emoji29]Hasa majobless aisee unawez taman utoke kweny uso wa dunia.