Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Hapa kuna hoja mbili zisizoshahabiana...
1. Gharama ya maisha kupanda
2. Uvivu wa kufanya kazi
Hata ungekuwa na bidii ya kufanya kazi, bado bidii yako isingezuia kupanda kwa gharama ya maisha...
Mada yako acha iongelee uvivu wako tu ambao hata hivyo hauna tiba nyingine zaidi ya kufanya kazi...