Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
kaka shida mmekalili maisha ni daresalam tu hata mie nlipitia changamot kama izo ila badae nkaona biashar zmekua ovyo naambulia maden tajir yangu kafirisika nkaanza tafta conection ndug zangu wa mkoan nkasafir nmeenda uko nkajkota taratib nikasoma mazngira bdae nkapat kaz ma8sha yanaenda namshkur mungu na matumiz mepes tu si kama dar yn mkoan unaez tumia sik nzima buk3 na ukala vzr jambo ambal dar aliwezkan mkoan kujipanga inakua rahis zaid hap na mek nkipat mtaj wa mana ndio tarud dar kvingine na experiens zaid so my intake kaka rudsha mpira kwa kipa kuanza moj sio ujinga ila ni ngum sana kuanza 1 kwemye mazngira yale yle
 
Uliishia darasa la ngapi?
 
Sema babu serikali ya mama ikuangalie mbona unateseka km sio mtoto wa muhasisi wa taifa.!!?
Naona nyuzi zako za malalamimo nyingi sana.!!
 
Nasikitika Baba wa Taifa hakuiba hela. Sasa hivi ningekuwa mtu wa kuheshimika.
Hivi hicho kipub ukitoka kwenu hapo mikocheni unakunja kushoto
Kiko ndanindani kimezungushwa na miti na maua kipo!
Nataka siku tugumiane hapo

Ova
 
Back
Top Bottom