Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

Afrika maisha magumu
Tanzania maisha magumu ila haya maisha wanayoishi Watanzania wengi sasa ni matokeo ya utawala wa Magufuli ingawa wenyewe huwaambii kitu kuhusu huyo Mh.jiwe.
Kuna binadamu hujipa mamlaka ya hadhi kubwa hadi wanageuka kuwa vituko.Kwamba,alijiapiza,akipewa mamlaka watu wataishi kama mashetani!
 
Anyway,Ulikuwa tajiri lini Hadi udai umefilisika?

Maana maskini hafilisiki!!
 
Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
Kama hata mtoto wa rais mstaafu unalalamikia msoto wa maisha basi hali si hali huko kitaa kwa wakulungwa
 
Kilo ya Michele ni buku jero,unga buku jero wewe unataka viuzwe bei gani ?
Hizo bei za msimu unakumbuka mchele ulifika mpaka elfu tatu kilo, vipi kuhusu vipato vya watu kuna mtu miaka nenda rudi monthly salary ni ile ile kuna mtu analipwa laki nne anafamilia hiyo hiyo ilipe ada za watoto kodi na je hizo za msimu ni faraja ya muda mfupi wakati watu bado vipato vinawaminya.
 
Kwani Watumishi hawajaingezwa salary?
 
Kwani Watumishi hawajaingezwa salary?
Kilichoongezeka kinamudu gharama za maisha? Na ishu si kuongezewa salary ishu ni gharama za maisha kuwa juu unapambana kupata laki tano kwa mwezi mzima lakini inaisha within ten days kwa madeni na matumizi mengi hakuna ziada inayopatikana.
 
Lakini kimeongezwa Hilo la kumudu gharama nadhani unatakiwa ujue kwamba Serikali haitoki Ajira Ili wewe uwe Tajiri Bali ujikimu.
 
Kama msosi ni nafuu ,Kuna unafuu upi mwingine unaoutaka? By the way ndio jukumu la Serikali hilo
Mkuu kwa hizi bei za msimu hivi ngoja zianze kuwa hadimu kama wimbo utakuwa huu na hiyo ni je vipi kuhusu kwenye sector nyingne kama za afya mm nina bomba kwangu lakini nina mwezi sasa maji hayatoki nafanya kununua bado kila mwisho wa mwezi wasoma mita wanapita kusoma na natumiwa bill ya mwezi kwa kitu nisichokipa wakati huo huo nanunua tena maji mkuu kweli kama si kukomoana ni nini?
 
Back
Top Bottom