Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Usitufanyie kejeli Prince. Kuna Prince anaefilisika?Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
Hahitaji kazi wala hana sababu ya kufanya kazi. Siypo mwenzako huyo.Hapa kuna hoja mbili zisizoshahabiana...
1. Gharama ya maisha kupanda
2. Uvivu wa kufanya kazi
Hata ungekuwa na bidii ya kufanya kazi, bado bidii yako isingezuia kupanda kwa gharama ya maisha...
Mada yako acha iongelee uvivu wako tu ambao hata hivyo hauna tiba nyingine zaidi ya kufanya kazi...
Mtu kakulia Statehouse analialia ivi. Huyu angezaliwa familia zetu angeshakuwa chizi muda mrefu sana kama hadi yeye analalamika je wengine?Sasa Mkuu, wewe mtoto wa Baba wa Taifa ukilalamika sisi watoto wa ‘wasiojulikana’ itakuwaje?
Lakini nimependa umekiri u-mvivu, hivyo basi hukupaswa kusema uliyoyasema. Hili ni janga la kula na wa kwenu.
Kwani watoto wako wako wapi? Hawawezi kukutunza?Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
Hebu muamkie kwanza.Huyo ni mzee baba anakula mkutira tu.vijana wamekuwa wavivu.
Ungedhalilika kwa hela za wizi.Shukuru unavyoishi kwa uhuru.Nasikitika Baba wa Taifa hakuiba hela. Sasa hivi ningekuwa mtu wa kuheshimika.
Waliosaga hapo awali iliwasaidia nini?Kama huyu ni mtoto wa baba taifa basi ni mtoto mpumbavu mno. Ninamshauri asage chupa anywe.
Huyu itabidi ampate ile mimama inayopenda vijana wadogo aka (gigolo ) kufanya nao mapenzi ndio atachangamka na uvivu kuondoka zakevijana wamekuwa wavivu.
Mtu mzima huyu hapungui 70+ yearsHuyu itabidi ampate ile mimama inayopenda vijana wadogo aka (gigolo ) kufanya nao mapenzi ndio atachangamka na uvivu kuondoka zake
Mzee-babu atachangamkaje kwa hayo mambo?Huyu itabidi ampate ile mimama inayopenda vijana wadogo aka (gigolo ) kufanya nao mapenzi ndio atachangamka na uvivu kuondoka zake
Inabidi ufanye matembezi ya hiyari kutoka Pwani hadi Nyamuswa.Naandika hivi,namba kuwasilisha,kwa sababu mambo yanayotokea sasa ndiyo yanaamua jambo gani litatokea baadaye.
Nisipoandika hivi,yatatokea mambo,halafu kila mtu ataulizwa,"Kulikoni?"
Mimi nawezaje kuwa mvivu wakati Sina gari,sina baiskeli,natembea kwa mguu?
Anatuchora tu uyu,familia yake italipwa mpaka siku wanaingiza kaburini,sio mwenzetu.wa butiamaJanaume zima unajisifia kuwa livivu?.. possibly utakua mwenyeji wa singida,DODOMA au Tanga.
Si Rahisi kueleweka. Ila One day yes!!Nasikitika Baba wa Taifa hakuiba hela. Sasa hivi ningekuwa mtu wa kuheshimika.