Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuna binadamu hujipa mamlaka ya hadhi kubwa hadi wanageuka kuwa vituko.Kwamba,alijiapiza,akipewa mamlaka watu wataishi kama mashetani!Afrika maisha magumu
Tanzania maisha magumu ila haya maisha wanayoishi Watanzania wengi sasa ni matokeo ya utawala wa Magufuli ingawa wenyewe huwaambii kitu kuhusu huyo Mh.jiwe.
Vyanzo havitafutwi. Vinakuwepo kulingana na mazingiraSasa vyanzo si ndio unavitafuta au unaviunda mwenyewe?
Aliacha kazi kwenda kujenga kijiji chakeJina alilowaachia ni zaidi ya hela Mkuu, kumbe ndio maana unalalamika maisha magumu basi.
Huijui thamani ya jina la baba yenu ambaye dunia nzima inamfahamu!
Kama hata mtoto wa rais mstaafu unalalamikia msoto wa maisha basi hali si hali huko kitaa kwa wakulungwaHapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo.
Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu.
Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya.
Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada ya siku.
Ni kama porini. Ukiwa dhaifu,the vultures perch on trees waiting for you to fall.
I have had such a peaceful weekend. I mean wageni wote waliotaka kuja kunitembelea wamefukuzwa ili wasihatarishe usalama wangu. Ni faraja kubwa sana kuona nalindwa vizuri kiasi kwamba hata mgeni mmoja haruhusiwi kunitembelea.
Shule mnasomeaga ujinga? survival for the fittestSurvival of the fittest
Hizo bei za msimu unakumbuka mchele ulifika mpaka elfu tatu kilo, vipi kuhusu vipato vya watu kuna mtu miaka nenda rudi monthly salary ni ile ile kuna mtu analipwa laki nne anafamilia hiyo hiyo ilipe ada za watoto kodi na je hizo za msimu ni faraja ya muda mfupi wakati watu bado vipato vinawaminya.Kilo ya Michele ni buku jero,unga buku jero wewe unataka viuzwe bei gani ?
Kwani Watumishi hawajaingezwa salary?Hizo bei za msimu unakumbuka mchele ulifika mpaka elfu tatu kilo, vipi kuhusu vipato vya watu kuna mtu miaka nenda rudi monthly salary ni ile ile kuna mtu analipwa laki nne anafamilia hiyo hiyo ilipe ada za watoto kodi na je hizo za msimu ni faraja ya muda mfupi wakati watu bado vipato vinawaminya.
Kilichoongezeka kinamudu gharama za maisha? Na ishu si kuongezewa salary ishu ni gharama za maisha kuwa juu unapambana kupata laki tano kwa mwezi mzima lakini inaisha within ten days kwa madeni na matumizi mengi hakuna ziada inayopatikana.Kwani Watumishi hawajaingezwa salary?
Lakini kimeongezwa Hilo la kumudu gharama nadhani unatakiwa ujue kwamba Serikali haitoki Ajira Ili wewe uwe Tajiri Bali ujikimu.Kilichoongezeka kinamudu gharama za maisha? Na ishu si kuongezewa salary ishu ni gharama za maisha kuwa juu unapambana kupata laki tano kwa mwezi mzima lakini inaisha within ten days kwa madeni na matumizi mengi hakuna ziada inayopatikana.
Unatafuta ujiko kupitia comment yangu?Shule mnasomeaga ujinga? survival for the fittest
Nsamehe kaka nikatika kurekebishana tu usimind sanaUnatafuta ujiko kupitia comment yangu?
Hiyo ishu si kwa serikali pekee bali hakuna tajiri au boss atakaekulipa ili uwe tajiri, vipi sasa kwa serilkaili kuweka unafuu wa maisha kwa wananchi wake??Lakini kimeongezwa Hilo la kumudu gharama nadhani unatakiwa ujue kwamba Serikali haitoki Ajira Ili wewe uwe Tajiri Bali ujikimu.
Kama msosi ni nafuu ,Kuna unafuu upi mwingine unaoutaka? By the way ndio jukumu la Serikali hiloHiyo ishu si kwa serikali pekee bali hakuna tajiri au boss atakaekulipa ili uwe tajiri, vipi sasa kwa serilkaili kuweka unafuu wa maisha kwa wananchi wake??
Mkuu kwa hizi bei za msimu hivi ngoja zianze kuwa hadimu kama wimbo utakuwa huu na hiyo ni je vipi kuhusu kwenye sector nyingne kama za afya mm nina bomba kwangu lakini nina mwezi sasa maji hayatoki nafanya kununua bado kila mwisho wa mwezi wasoma mita wanapita kusoma na natumiwa bill ya mwezi kwa kitu nisichokipa wakati huo huo nanunua tena maji mkuu kweli kama si kukomoana ni nini?Kama msosi ni nafuu ,Kuna unafuu upi mwingine unaoutaka? By the way ndio jukumu la Serikali hilo
Na wewe saga unywe ili ujue ilivyowasaidia.Waliosaga hapo awali iliwasaidia nini?
Mimi nilitaka nipate mfano kutoka kwako kwanza.Na wewe saga unywe ili ujue ilivyowasaidia.