Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Tunagongea kesho tunatangazwa kawaida haya ndio maisha yetu ya vingungutMjini huko mna raha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunagongea kesho tunatangazwa kawaida haya ndio maisha yetu ya vingungutMjini huko mna raha sana.
Eshindwa kula kwasababu ya maisha magumUnaweza kuta mleta mada icho chakula kilimshinda kumaliza.
Karibu hapa tandale upige kazi kijanaTunagongea kesho tunatangazwa kawaida haya ndio maisha yetu ya vingungut
Una mishe gani hapiKaribu hapa tandale upige kazi kijana
Sitoaacha kulia up nifike pale napopatakashukuru kwa kidogo ulichonacho, piga tathmini, songa mbele
Lia kwa kiasi, wewe unalia sana
ingekuwa kulia kunalipa matajiri wangekuwa wengi sanaSitoaacha kulia up nifike pale napopataka
Ahahahingekuwa kulia kunalipa matajiri wangekuwa wengi sana
Napiga debe kwa daladala.K
Una mishe gani hapi
Ngoja niendelee kujifunza kushona viatNapiga debe kwa daladala.
Kumbe mkuu huna hela dadaangu umemkosa kwa kweli 🏃 🏃 🏃Kaka nisaidie bas 20k kesho nina dem nataka nimtoe
Ajmhahaha wee iyo pesa ya kuchora tuKumbe mkuu huna hela dadaangu umemkosa kwa kweli 🏃 🏃 🏃
Safi, kazi ni kaziNgoja niendelee kujifunza kushona viat
Ahahhaha usije vunjika mguu na uzee uhoSafi, kazi ni kazi
Next week nitakuwa huko vingunguti, unipeleke ile sehemu uliyokuwa unaruka ruka juu ya meza umeshikilia bia kipindi kile kaka yako nikatoe ushamba.
Hahaha! Kaka yako engine ya Revuelto hata mvi sina japo ka umri kameendaAhahhaha usije vunjika mguu na uzee uho
Warembo wa bong sifa mpunga na savana tuHahaha! Kaka yako engine ya Revuelto hata mvi sina japo ka umri kameenda
Nikiweka T-shirt na Jeans warembo wa daslamu salamu yao kwangu ni "mambo "
Kila siku hawakauki😂😂😂😂😂 alafu kuna sisi ugumu unaletwa na ndgu yaani wakijua unaishi wapi ...
Maninaaa utajutraaaa
Sijui kwann mtu anakua anataka kujua unapokaa wakati kuna mda sahihi ukifika nitafunguka mwenyewe..Kila siku hawakauki
Wote?Warembo wa bong sifa mpunga na savana tu