Maisha magumu

Maisha magumu

shukuru kwa kidogo ulichonacho, piga tathmini, songa mbele

Lia kwa kiasi, wewe unalia sana
 
Safi, kazi ni kazi

Next week nitakuwa huko vingunguti, unipeleke ile sehemu uliyokuwa unaruka ruka juu ya meza umeshikilia bia kipindi kile kaka yako nikatoe ushamba.
Ahahhaha usije vunjika mguu na uzee uho
 
Back
Top Bottom