Maisha, Mapenzi na Utajiri wa Alikiba; Kuna mengi ya kujifunza

Hivi mnajua mnachekesha sana sas ww kam hana hela unafurahi ili.iweje?? Ndo maana maskini kuwa mchawi ni kugusa tuu kwa sbb hataki mwenzake afanikiwe. Eti mtu anaenjoy kabisa kusema Aly kiba hana hela sasa wewe unazo?? Unaijua account yake?? Ya kwenu yamewashinda kazi kufatilia ya watu tena ukitaka awe kapuku kama wewe. Mleta mada kasema vzr tuu na hajaleta utimu ila sasa watu walivyo na nongwa. Mimi ni shabiki w dimond na aly kiba nawapenda wote na mafanikio yao.
 
Utajiri wake ugawie kwa NANE..
Mama×4 + Mtoto×4 = hakuna mafanikio ila ni wingi wa stress na frustration tu, ndio maana hasikiki akijivunia mafanikio yake...!
 
Hapa Tanzania ya viwanda nais Mjomba kachemka ase
 
Utajiri wake ugawie kwa NANE..
Mama×4 + Mtoto×4 = hakuna mafanikio ila ni wingi wa stress na frustration tu, ndio maana hasikiki akijivunia mafanikio yake...!
umeona jumba lake la tabata lakini?
 
hili povu sio la nchi hii asee
 
Hata mm nashangaa, au sijaelewa utajiri ndio nn?
Mbona ni lugha tu hapo inayokuchanganya...
Neno tajiri linatokana na neno la kiarabu "Attijara" maana yake ni mfanya biashara..tofauti na wengi wetu tulivyo kariri kuwa tajiri labda ni mtu mwenye pesa nyingi, hivyo mfanya biashara yeyote ni tajiri kwa maana ya uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…