chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
ndo ngumu.alafu kama ujamaliza maisha ya anasa itabidi tuhivi ni kwanini wasanii wanapenda sana kuzaa nje, ndio kutafta umaarufu au vp?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo ngumu.alafu kama ujamaliza maisha ya anasa itabidi tuhivi ni kwanini wasanii wanapenda sana kuzaa nje, ndio kutafta umaarufu au vp?
View attachment 650126
Naan kama ilivyo kwa wengine pia mimi ni mpenzi mkubwa sana wa BongoFlavor, Na leo nilikua nafatilia kwa kina kuhusu lifestyle ya mwanamuziki ALIKIBA ambae kwa kawaida ni ngumu kujua details zake kutokana na usiri wake, nilishawahi kuandika hapo nyuma kuhusiana na msanii DIAMOND PLATNUMZ maisha yake na mafanikio yake katika muziki, na leo nikashawishika kumfuatilia ALIKIBA na kusema ukweli kuna mengi ya kujifunza kupitia huyu bwana mdogo,
Melezo katika video
Alikiba pia ni moja ya wasanii wenye mkwanja mrefu kuliko boss wako (napendaga kusema hivyo) na mafanikio yake yalianza kuonekana kuanzia mwaka 2014 alipoamka rasmi na kurudi kwenye game kwa kishindo na ngoma yake ya "MWANA" hapo ndipo milango yake ya mafanikio ikaanza kufunguka na matuzo ya kila pembe ya dunia hii yakaanza kumsogelea, pia ni katika kipindi hichi alikiba alijizolea mamilioni ya mashabiki japo wengi wa mashabiki zake wamemfuata kutokana na chuki walizonazo kwa mpinzani wake, yani DIAMOND PLATNUMZ,
Mafanikio ya alikiba pia yaliongezewa nguvu na ile deal aliyopata ya kujiunga na label kubwa kabisa ya muziki duniani yani "SONY MUSIC" hakuna anaejua amechota kiasi gani katika deal hii lakini kwa hakika ni mpunga mrefu,
Maisha yake ya mapenzi wengi wanafahamu ana watoto wanne na inasemekana kila mtoto na mama yake
Sitaki kuweka maneno mengi lakini mwisho niseme tu inapendeza na kutia moyo kuona vijana wetu wanapata mafanikio makubwa kutokana na kazi zao inatia moyo sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma, kwasasa mziki wa tanzania unazalisha mamilionea kila kukicha ni kitu kizuri sana
Unafeli aiseeNdio hivyo,
haha, kwanini?Hapa Tanzania ya viwanda nais Mjomba kachemka ase
umeona jumba lake la tabata lakini?Utajiri wake ugawie kwa NANE..
Mama×4 + Mtoto×4 = hakuna mafanikio ila ni wingi wa stress na frustration tu, ndio maana hasikiki akijivunia mafanikio yake...!
hili povu sio la nchi hii aseeHivi mnajua mnachekesha sana sas ww kam hana hela unafurahi ili.iweje?? Ndo maana maskini kuwa mchawi ni kugusa tuu kwa sbb hataki mwenzake afanikiwe. Eti mtu anaenjoy kabisa kusema Aly kiba hana hela sasa wewe unazo?? Unaijua account yake?? Ya kwenu yamewashinda kazi kufatilia ya watu tena ukitaka awe kapuku kama wewe. Mleta mada kasema vzr tuu na hajaleta utimu ila sasa watu walivyo na nongwa. Mimi ni shabiki w dimond na aly kiba nawapenda wote na mafanikio yao.
Mbona ni lugha tu hapo inayokuchanganya...Hata mm nashangaa, au sijaelewa utajiri ndio nn?
Jumba la kupanga limekua lake?umeona jumba lake la tabata lakini?