Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Salaam jamiiforum forum.
Kwa wakristo wenzangu , hususan Roman katoliki,Leo ni Alhamisi kuu,
Ni bado saa chache tu mkombozi wetu aanze kupitia maumivu.
Kwani tayari Yuda ana Vipande thelathini vya pesa.
Kwa pesa ya Leo kibongobongo unaweza kuta ni milioni 300😂 maana kuuza roho ya mtu Kwa Kwa magaidi si mchezo.
Lakini pia niwape pole wale wote wahangaikaji wenzangu,umejibana weee,umejinyima vingi ukaona uvute usafiri wako ili kuepuka Acha kwenye usafiri wa umma huku ukirahisisha mizunguko yako.lakini ghafla unaishia kuweka lita 5 Kwa shilingi 20000/- yaani mhangaikaji huna ujasiri wa kuweka full tank,Kwanza hiyo jeuri unatoa wapi?
Lakini pia tupo Sisi watoto wa mamantilie kundi letu ni kubwa,tupo wasafirishaji kwenye vyombo vidogo vya moto,tupo pia wadau wa bodaboda na wateja Kwa ujumla.
Daladala je?
Sitaki kusema ,Sisi watumiaji wa huu usafiri ndiyo wapiga Kura wenyewe,na 29 October 2025 tulipiga kura. Wapo vijana wachache walitaka kuharibu uchaguzi lakini majeshi yetu imara yalikaa vyema kuhakikisha Amani inapatikana.
Ok fine,lakini sasa ugomvi wetu mkubwa ni Sisi na Makondakta wa daladala, kwani tunadaiwa nauli Kwa nguvu,chenji hairudi na ikirudi ni kiduchu 🤔.
Kwenye mikoba na wallets zetu tuna vitambulisho vingi tu.
1️⃣Kitambulisho cha taifa
2️⃣Kadi ya mpiga Kura🤔
3️⃣Kadi za benki zenye akiba kiduchu
4️⃣Kadi za bima za afya🤔
5️⃣Kadi ya chama tawala😭
Kadi hizi zote ni mzigo tu kwani hazikupi mahitaji na msaada wa haraka badala yake,mitaa inahitaji taaluma na ujuzi siyo blah blah na tia maji tia maji.
Vibarua vyetu casual labour malipo ni yaleyale na ugumu wa kazi upo pale pale.
Sema nini,
.vijana oeni bwana acheni kukimbia majukumu, ndoa ni Raha,ndoa ni heshima, ndoa ni baraka.ikiwa tu utampata anayekupenda.