Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,423
- 9,296
Hahaha kwakua utamiss sanaNatamani nipate Kitimoto na Konyagi au Safari Lager baridiiiii.View attachment 2623041
Sana sijajua kama nitaikuta huko mbeleni ila naamini nitaikuta tu.Hahaha kwakua utamiss sana
aisee,,, niambie kwanza wewe ungetamani umwambie nini nimpelekee taarifa ππ€
ameongea kwa uchungu sana yaniπmada yako ya leo nzito sana π
Hahaha au wewe hauta kufa?mada yako ya leo nzito sana π
anapita mapito....ameongea kwa uchungu sana yaniπ
HahhhahaSana sijajua kama nitaikuta huko mbeleni ila naamini nitaikuta tu.
Sidhani kama itafaa kituaisee,,, niambie kwanza wewe ungetamani umwambie nini nimpelekee taarifa ππ€
sawa basi ningependa huyu binti Ms eyes ajue kwamba ninampenda sana, nasinziaga nikimuwaza....Hahaha au wewe hauta kufa?
ndo atuambie sasa anapitia nini tumsaidie, au unasemaje πanapita mapito....
huyu dogo msanii we kwani humuelewi πndo atuambie sasa anapitia nini tumsaidie, au unasemaje π
Sema nasubiri comment yakoameongea kwa uchungu sana yaniπ
aisee π , kwahiyo hii ndo mood yake ya leo ππhuyu dogo msanii we kwani humuelewi π