Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

'waasi wote wote ni kitu kimoja ila hugawanyika baadae linapokuja swala la maslahi".

Kwa hio M23 vs FDLR Vs ADF vs Maimai vs RNC wanaweza kua kitu kimoja sio?

😂😂😂😂 Mke wangu naona unalazimisha chai unazonywesha wenzako unataka kila mtu azikubali sio?

We endelea kuelezea kazi zako za ukonda,mambo za 'field' achana nazo unadanganya tu.
 
Huna unachojua kausha mzee unatia aibu
Kama unaona ni uongo piga kimya acha uzi uendelee tunao amini tuendelee nao
 
Acha Ujuha....
 
Hahah waambie hao wapenda kusoma hadithi zako ila sio mimi.

Tena uache uongo jeshi lilienda huko(kikosi cha mizinga) tangu 1996 kwny 1st war yao likishiriki kumng'oa Mobutu "kimya kimya" kwa ushirika na nchi nyingine,ila wewe sababu umeenda huko kwa shughuli zako za udereva then unadhani dunia ya kijeshi hapo Congo ilianzia 2001.

We hadithia unavyojua ila kwny chai utaambiwa hii hapana.
 
Wewe mpuuzi acha kutuharibia Uzi wetu.

Hayawani wewe.
 
Pamoja sana mkuu. Weka mambo
 
Kuna mtu kakuita kusoma huu Uzi si ulale mbele huko ?nenda hata jukwaa la history huko
 
Story nzuri, uandishi mzuri tatizo hizi miss miss watakuja wale wajuaji story itapoteza radhaa.. mkuu jitahidi basi tukimbizane na wale ambao kila kitu wanakijua watakuja kuharibu uzi wako bongo man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…