0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Born in town,utawajua tu,kwa kujitutumua ili aonekane anajua sanaHahah waambie hao wapenda kusoma hadithi zako ila sio mimi.
Tena uache uongo jeshi lilienda huko(kikosi cha mizinga) tangu 1996 kwny 1st war yao likishiriki kumng'oa Mobutu "kimya kimya" kwa ushirika na nchi nyingine,ila wewe sababu umeenda huko kwa shughuli zako za udereva then unadhani dunia ya kijeshi hapo Congo ilianzia 2001.
We hadithia unavyojua ila kwny chai utaambiwa hii hapana.