Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Hahah waambie hao wapenda kusoma hadithi zako ila sio mimi.

Tena uache uongo jeshi lilienda huko(kikosi cha mizinga) tangu 1996 kwny 1st war yao likishiriki kumng'oa Mobutu "kimya kimya" kwa ushirika na nchi nyingine,ila wewe sababu umeenda huko kwa shughuli zako za udereva then unadhani dunia ya kijeshi hapo Congo ilianzia 2001.

We hadithia unavyojua ila kwny chai utaambiwa hii hapana.
Born in town,utawajua tu,kwa kujitutumua ili aonekane anajua sana
 
akili inaniambia lisasi zikianza tu nachochea moto mia ishirini kama ni kufa ntafia mbele tu wala sintojari kumpita tena rama

nimecheka sana kipande hiki
 
Back
Top Bottom