Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Asante kwa story
 
Asante saana mpambanaji..bonge la simulizi
 
natamani kujua kabila la rama japo sio kwa umuhimu sana. yupo wapi kwa sasa na anafanya nini?.
 
Hatari wapi konda msafi
 
hii story imeishajeishaje mbona sielewi?.
 
Reactions: ARV
Mshaanza ma-story yenu msiyoweza kuyamaliza.

Sasa hivi ni kuwaacha kwanza mmalize kusimulia ndo tuanze kusoma.
Sijui kwanini wasiandike story nzima, mfano iwe page 1 to 10. Lakin hapo utaanza itafuta weeee, au bado mtu hajapost endelezo, inakera mno kwa kweli.
 
lamaa Na rama sie ni ndugu ujue!!!!

[emoji120] wajasiri....mnoo
 
Sasa Kuna yule wa safar ya botuswan safar ya dhahabu ya botuswana ajamaliza tu mnk nae anazuazua kumaliza story faster
 
Sema mkuu we pia unajimudu, yani matukio yote hayo bado mkarudi boda kwa njia ile ile? Ningekuwa mi ndio wewe ningerudi na ndege potelea mbali hela zote ziishie nauli, kifupi nisingejali hela kikubwa ni kufika salama tu,

Asante sana kwa stori nzuri
Inasisimua, inaburudisha na kufundisha pia!
πŸ™πŸ™
 
hapana....haiwezekani.....story imeisha kienyeji sana....tumepigwa....muanzisha story "ntu" wa dili.
MBONA STORY YENYEWE IMEISHA GHAFLA HIVYO!!! NILIJUA KUNA EPISODE ZAIDI YA 10. MLETE RAMA AHADITHIE MATUKIO YAKE, KAMA WEWE MWANAFUNZI WAKE UMEPAMBANA HIVYO YEYE SI ITAKUWA BALAA!! bongo man

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Reactions: _ly
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…