Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Mkuu tupo pamoja, malizia chizi wa Mapenzi urudi!!!
 
Mkuu vipi tukupe kamlungula kidogo urefushe stori
 
Tobaa mkuu wewe ni true story ama ?🤔🤔
Ukiwa na mwanaume unaishi nae akakuthamini, kukupenda na kukuheshimu kuwa wewe ni mkewe, mheshimu sana huyo mtu. Tunapitia masaibu mengi sana tunapokuwa kwenye utafutaji maalum kwa ajili ya wake na watoto wetu. Usijikute wa kubenua benua kidomo.
 
Hahahaha umesema ukweli mchungu sana sana, kwa kifupi wanaume wengi tunapitia changamoto kubwa sana sana! Bado unatakiwa uwe na nguvu za kiume, yaani ushindane na mwenzio ambaye hana stress! Wacha tupambane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…