Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Jamaa unazngua kuwajibu wapambe Nuksi. We shusha ma epsod hayoo acha kujibu maswali ya watu. Kam wana story za maish yao waanzishe nyuzi zao
 
kwa hiyo mkuu maji yote yaliyojaa ziwa victoria hukuyaona mpaka ulivyoenda Rwanda? anyway nadhan na sis tuiache dar na maji yake yote ya bahar tuyafate ya Rwanda. kwanza ujazo wa wastan bei gani tusije aibika tukidhan ni viwango vya wenzetu wa kona baa. teh!

Mgambo Sele kuvua nguo jukwaani.....View attachment 497294

We endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Ni kweli mzee wangu alikuwa jwtz na alikuwa congo special mission kipindi Hiko inaitwa zaire since 1998 to 2000..ila alichange Sana aliporudi alikuwa mkali mno sijui alikutana na visanga gani huko hakukaa Sana akafariki ila kwa maelezo yake ingawa nilikuwa mdogo Sana kulikuwa na vita Kali Sana na maiti zilikiwa zinabebwa kwenye malori ya mchanga zinaenda kutupwa na kumwagiwa tindikali yaani hata unyayo aubaki hao watu walikiwa wanauwana kikatili Sana...
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa.

Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye udereva ili niweze kuishi kama mnavyojua maisha ni popote na kujaribu ni muhimu kuangalia kila sehemu ili uweze kutoka ukinzingatia kuwa wengine shule yetu ni kidogo hivyo ni muhimu kijipambania kwa kila hali ili uweze kujikimu kimaisha tukawa tunashike hili na lile ili mrasi tuweze kuishi.

Story yangu ni ndefu kigodo ila ntajitahidi niimalize kwa wakati ili kuepuka zile maneno za kakimbia sijui nini ila naomba tuwe na uvumilivu tu kwani swala la kuandika nalo ni mtihani ukizingalia device tunazo tumia sio rafiki .kwa wale wasio wavumilivu naomba tupite tu hakuna haja ya kulalamika.

Story inaanzia hapa...

Miaka 2000's kulitokea wimbi kubwa la usafirishaji wa magari kutoka bandarini Dar kwenda DRC kipindi kicho ikitwa congo (kama sijakosea) kipindi hicho nilikuwa najishughulisha na udereva taxi pale Mapambano kijitonyama nikipindi ambacho biashara ya taxi ilikuwa na hela kiasi kwani biashara ya Bajaji na bodaboda ilikuwa bado na watu walikuwa hawajazoea kupanda vyombo hivyo, basii maisha yakawa yanasonga mbele kama sijasahau mwishoni mwa miaka ya 2001 ndo vita congo ilikuwa imepowa japo nilikuwa siwahi kufika huko hata mara moja.

Kijiweni kulikuwa kuna mshikaji alikuwa anaitwa Rama kwanza nikili kuwa huyu jamaa alikuwa mjanja kupitiliza na alikuwa anasafiri sanaa inasemekana hata nganda alikuwa anabeba japo tulikuwa wote pale pale kijiweni nae ana kigari chake mwenyewe anabeba abiria ndipo akanipa mchongo wa kusafiirisha magari ya wa kongo kwenda Congo kipindi hali haikuwa nzuri kwakweli hivyo madereva wengi walikuwa hawapendi kwenda huko japo wacongo walikuwa wanapanda offer ya mpaka dolla 250 kuifikisha gari KASUBALESA boda ya Congo na zambia then unamwachia anamilizia kipande chake.

Hapo ndipo jamaa yangu Rama alipopata hiyo fursa kwa jamaa yake alieoko pale bandarini ambae alikuwa na kampuni yake ya clearing na fowarding pale bandarini na kumwambia kuwa kuna wacongo wanahitaji magari yao yafike lumbumbashi then wao watayasafirishi kwa ndege kwenda kinshasa ila wao hawapandi hizo gari wao tutakutana lumbumbashi sehemymu moja sehemu moja kunaitwa KOTA naona nikaribu na soko kubwa la Lubumbashi mjini katikati.

Cha ajabu jamaa walitoa pesa yote kwa jamaa yao wa pale bandarini na kampuni ndo ilitakiwa isimamie kila kitu hapo ndipo mwanangu Rama akanitustua nakumbuka ilikuwa ni kati ya mwezi wa tano kwenda wa sita. Mvua zinanyesha Dar hakuna mfano abiria hakuna nikaona bora nitoe gari kwa jamaa nikimbize IT kwanza nami nipate uzoefu.

Baada ya jamaa yangu kuweka mambo sawa ikiwemo kupata passport ya karatasi na chanjo ya homa ya manjano mzes mzima siku ikawadia jamaa yule akatupa dolla 100 advance, 50 maillage na 50 ya barabarani nikiongea bararani mnilewe hiyo ya wazee .Gari mpya kutoka kiwandani yani bado zina makaratasi mitusubishi dabo cibin mpya kabisa wazee tukawekewa full tank. Zikabandikwa number za IT .siku ya j2 ndo safiri ikawa imeanza rasmi mara ya kwanza kusafiri na magari ya IT ila mwenzangi rama yeye alikuwa mzoefu hata kwa njia hio pia alikuwa anaijua vizuri na alikuwa anajua hata kizambia kidogo na kikongo kisawahili chao kile cha kuya Papa uko na makuta ngapi? Hhhhaaaa...

Safari imeanza.

ITAENDELEA JIONI...
Inaendelea bandugu .......

kwanza niendelee na msimamo wangu kuwa lazima niimalize story halafu hizi mambo za kuja inbox kuni criticise sio kabisa wengine naona mnakoment ujinga tu kama story ni chai kwanini unaifutalia?

Mh.rais Mama samia ana kazi sanaa asipowakomalia wabongo kama alivyokuwa anafanya magu nchi itamshinda yanii mtu anakaa anabisha jambo ambalo hata halijui vizuri kisa umesoma vijivitabu vya waandishi uchwara .

Kuna siku nilimuuliza mkongoman moja ni kwanini vita haishi kongo yeye akanijibu kwa kifupi tu. kwa sababu tumetanguliza maneno kuliko vitendo yani mkongo anaongea sanaa lakini kwenye battlefield anakimbia mbio adi waasi wanateka mji mkubwa kama Goma.

Haya sasa wakulungwa muda ukawadia mzee mzima chuma zikawashwa wale wanajeshi wakaanza kupanda magari yetu, walijinga vizuri kweli naomba nieleze kidogo kuhusu kujipanga yani ni hivi wanajeshi wakikaa kwenye gari huwa na mielekee minne yani kuna wanao angalia mbele ,pembeni ,nyuma na mbele na kila mwanajeshi anapewa siraha kulingana na uelekeo alipo yani kwa mfano mwenye RPG anakaa juu uelekeo wa mbele yani ina maana hiyo silaha huwezi itumia ukiwa juu ya gari halafu unaelekea kwa nyuma labda gari spesho unless unaweza enda nayo chini wakati wa kufyatua pale inapotokea dharura..

Wazee wakajipanga safari ikaanza kama kawaida rama mbele mimi nyuma yani wajinga wanapiga story gari ya mbele wewe unasikia huku nyuma yani ni makelele full yani kwa ujumla zile gari zilibadilika.zikawa kama mali ya jeshi vile Wazee tukazidi kukataa poli.

Mwanzoni nimesema kunatofauti mkubwa kati ya ujasiri na uoga yani mtu kuwa jasiri na kutokuwa muoga amini usiamini baada ya kama kilomita tano hizi zile kelele za wanajeshi zikaanza kupungua mara ghfla nikasikia mwanajeshi moja anasema attansio hii ni lugha ya kifaransa yani kwa kiingilleza nahisi alimaanisha attantion yani wajuvu wa lugha mtasaidia kidogo naamini ilikuwa ni kama tahadhari flani nikaona rama amepunguza mwendo mara ghafla nikaona wale wajeshi niliokuwa nao kwenye kibin ndani ya gari wanavunja usalama yanii wakaweka risasi kwenye chemba halafu kilichonishangaza kitendo cha kukoki walikifanya ndani ya dakika moja tu wote yani chuma zipo tayari ,mzee hapo akili imesharuka kitambo njia nzima kimyaa wazee wanaangaza kila mahali uongo mbaya sikujishughulisha hata kuanganilia pembeni mimi nilikuwa straight yani akili inaniambia lisasi zikianza tu nachochea moto mia ishirini kama ni kufa ntafia mbele tu wala sintojari kumpita tena rama.

Kuna kitu niliijifunza katika lile tukio ni kwamba unapokuwa katika eneo la hatari kama lile kwa upande wa wanajeshi lakini ,unatakiwa kuwa katika speed ya wastani ambayo hata ukiruka huwezi umia ndo maana mwaanjeshi alie kaa nami katikati aliniambi a petit fungula milango yani alimaanisha vioo viwe chini na lock ziwe off .
Yaani hivi waasi wakirusha Rpg gari ikiwa speed kwanza ni ngumu kuruka pili hata mkiruka gari ikiwa speed lazima muumie au mfe kabisa ila.mkiwa mwendo wa wastani ukisikia neno rpg wewe rukaa tu pembeni unakuwa umesave ndo sababu ya eneo lilie speed ikapunguzwa tukawa tunaenda taratibu.

Sas kipindi hicho kulikuwa na vizuizi kama vitatu hivi basi tukafika kizuizi cha kwanza jamaa wakapigiwa saluti tukapita hamna ukaguzi wa gari wala nyaraka kisa tu gari wamepanda wanajeshi congo banaa ...basi tukawa tunaendelea na safari tukaenda mbele tukakuta kuna gari imeingia porini naona ilikuwa na namba za zimbabwe roli moja hivi single deef basi tukasogea kwa mbele wanajeshi wakashuka kwenda kuliangalia eneo hilo wakakagua pale hakuna kitu wala yeyote kulikuwa na nguo nguo na vijibegi wakakomba safari ikaendelea tukaenda tukafika sehemu hapo ni ndani ya pori sehemu kama kuna barabara mbovu hivi yani lami imelika kimtindi...

Kuna mjinga moja alichomeka zile bunduki kubwa kubwa za mashine zanakuwa na cheni ya risasi yani aliifunga kabisa kwenye ngao za kibini ya gari ya rama sasa bwana tumefika yale maaeneo si yule mpuuzi akaanza kurusha risasi huku na huku ndo ile bomba ione tu kwenye tv yani ile bunduki ina sauti nzito halafu kali sanaa.yani kama una presha unaweza zimia .

Kuona vile na wale waliopo kwemye gari yangu nao wakatoa vyuma wakaanza kumimina risasi polini yani wa upande wa pembeni wanafyatua pembeni kila mtu na upande wake yani mwanajeshi tulieka wote akapitishi sMG juu ya open roof anaachia risasi daah mimi kihoro kimenipanda naona sasa vita imeanza mara nikasikia tumepitaa..kumbe lile eneo ndo lamatukio sana sanaa hivyo waakifika iliwalazimu warushe tu risasi ili kujiweka tayari nilikuja elezwa baadae kwamba kama waasi wangekuwepo basi lazima wengejibu tu na zingepigwa ila kwa kuwa hawajajibu basi wako mbali na eneo hilo au hawana mpango wakufanya chochote siku hiyo...

Basi safari ikasonga inafika saa kumi na mbili kasoro ndo tunafika checkpoint ya kwanza ya congo imeandikwa KARIBU LUBUMBASHI kwa juu moyo nikasikia unasema uwiii....i sasa napumzika kumbe mle mjini ndo nuksi zaidi bora hata huko polini tukaenda kidogo kuna custum gari zikakaguliwa na wale wanajeshi wakawa ndo wamefikia mwisho safari tukaachana nao sisi tukaingia town sasa kwende kulala kigiza kimeanza kuingia ....jamaa ram huwa anajua vigest vya kule tukaenda sehemu hata sipajui tukapaki akaniambia sasa ndugu tumefika ila wenyewe tutaonana nao kesho mchana wakati tunaenda kuwakabidhi magari yao .
Rama akafanya mawasiliano na wale wacongo wKafurahi sanaa wakasema kwa kuwa ni usiku itabidi tuoname nao kesho saa nane kwa kuwa wote wale ni watumishi wa serikali hivyo asubuhi isingewezekana .
Aise kipindi hicho disel na petrol ilikuwa shidah sanaa congo yani unaweza kuta foleni kubwa tena kubwa sanaa yani unakaa foleni kuanzia asubuhi hadi jioni ndo inaingia zamu yako haafu hupewi zaidi ya lita ishirini.

Tukalala usiku ule kwenye vile viguest vyso sikumbuki kama hata nilikula zaidi ya kula mikate yao ya chumvi na soda , kukakuchaa Sisi kwenye gari zetu tulikuwa na mafuta ya kutosha kabisa rama akapita huku na huku mara akaja na masela wana vidumu vya mafuta basi tukakubaliana tutoke nje kidogo mbali na zile guest tukapige nyoka yale mafuta si tunajua wenyewe mchana watakuja zichukua tulikubaliana tuwaachie lita hata tano tano tu zingine zote tuuzie zitatusaidia mbele..tukawasha gari kuna sehemu tukaenda kidogo kuna kama kumezungushiwa fance hivi tukapaki palee hakuna pilikapilika nyingi hivi...tukaanza kujipakulia mafuta tunakaribia kumaliza kujaza kidumu cha mwishoo ebwanaee kumbe tulikuwa nimefanya kosa kubwa pale bora ndo tungepigia nyoka pale pale guest ebwanae kufumba na kufumbua nissan dabo kibini hiyo imejaa wanajeshi kibao tayari apo tulipo wale vijana wakikongo wakaruka ule ukuta hadi ng'ambo wakakimbia wale wanajeshi wakawasindikizia na risasi huko huko sasa sijui walikufa au vipi nikabaki mimi rama amini usiamini rama hakuonekana kutetereka hata kidogo hata walivyotuelekezea bunduki rama alitulia tuli ana waangalia tu. mimi tayari akili haipo nikasema leo ndo mwisho wangu nakufaa..........uwiiii.

Itaendelea....usikose mda wa ifatr huu.
 
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
We endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wavnajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Amikariri notisi hiiiiiihiiiiii
 
Uwiiiiii bonge la stori
 
Mjomba Leo nimeagiza popcon za million kabisa na k vant kubwa
 
Vp kule jamaa na story yake ya dhahabu botswana. Nae naona Yuko mapumziko anyway nimeamua kuweka kamb apa kule nahama hi imekuwa interesting zaid
 
We endelea kusoma vitabu na documentary za congo hivyo vitabu na documentary za vita vya congo nikukufanya wewe uamini watu wanavyotaka lakini reality haiko hivyo hivi unajua kuwa toka mwaka 2001 vikosi vyaj eshi la tanzania lilikuwa congo tayari ulishawahi kusikia hiyo kwenye mavitabu yako ,binafsi niliwahi shuhudia wanajeshi watanzania tena nazungumza nao kabisa kiswahili safii hata kabla ya hiyo m23 unayoisema swala la kiusalama ni siri kubwa sana ya watawala we kaa utulie.
Pia hajui kuwa waasi wanakodiwa na leo utamkuta bongo kesho burundi dunia uwanja wa vujo
 
'waasi wote wote ni kitu kimoja ila hugawanyika baadae linapokuja swala la maslahi".

Kwa hio M23 vs FDLR Vs ADF vs Maimai vs RNC wanaweza kua kitu kimoja sio?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mke wangu naona unalazimisha chai unazonywesha wenzako unataka kila mtu azikubali sio?

We endelea kuelezea kazi zako za ukonda,mambo za 'field' achana nazo unadanganya tu.
Mnaboa sana nyie watu mnaojitia ujuaji
 
Back
Top Bottom