Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Rama katili😂😂

Ila ile njia konki sana aisee ukiwa na roho nyepesi kule hakufai

Kule unakua na roho ya Pakashume aisee. Nishaenda Kolwezi kama mara mbili na Lubumbashi banyamulenge kama kawaida walitutaitisha wakatupukutisha dizeli nyoko wale
Nafikiri ni Solwezi sio Kolwezi mkuu
 
Oi mzee kausha basi, ushaona wadau hawapendezwi na comments zako haijalishi ni za kweli au uongo.
Kama unaona unaumia zaidi basi anzisha uzi wako na wewe ambao utaongelea hayo unayoyapinga then uattach humu tutausoma tu na sio kuharibu nyuzi za wenzio namna hii.
Tulia wewe,umenogewa na hadithi?
 
Mkuu uzi,,utaisha kweli mbona kama speed imeanza kuwa ya kobe, maana uzi ukishafikisha views 7above ndiyo huwa waandishi inaanza kuwa changamoto.

Awali ulianza vzr episode hata 3 sasa naona kwa cku 1.

Kaza mkono shusha hata episode 4 kwa cku.

Sie wasomaji unapokaa cku nzima unanunua bando kisa uzi, half unakuta hakuna episode hata 1, au unakuta 1 cku nzima au cku mbili inafedhehesha.

Hivyo shusha mzigo uzi uishe tuendelee na mengine.
 
Muulize mtoa hadithi wenu anayesema eti jeshi liko kule kuanzia 2001 wkt huyu jamaa anasema dingi ake alikua huko 1998-2000
amesema kitu kama 98 hivi na 2000 ndio alikuwepo huko lakini hajasema dingi karudi mwaka gani..

Utafanya tukose story ewe ndugu wa konda yule twendeni hivyo hivyo tu bongo man atakuwa anakosea sababu ya kumbumbuku tu lakini sio kwamba anadanganya
 
Back
Top Bottom