Dickson mwaipopo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 481
- 455
Shusha vitu sasaYupo sasa hivi anaendasha moroli tank za mafuta ya primefuel.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shusha vitu sasaYupo sasa hivi anaendasha moroli tank za mafuta ya primefuel.
Rama mzima anaendesha matanki ya mafuta ya Prime fuel kasemaRama atakuwa hai au ni marehemu kwa sasa? 🙊🙊
Nafikiri ni Solwezi sio Kolwezi mkuuRama katili😂😂
Ila ile njia konki sana aisee ukiwa na roho nyepesi kule hakufai
Kule unakua na roho ya Pakashume aisee. Nishaenda Kolwezi kama mara mbili na Lubumbashi banyamulenge kama kawaida walitutaitisha wakatupukutisha dizeli nyoko wale
endelea kakaYupo sasa hivi anaendasha moroli tank za mafuta ya primefuel.
Nyuzi gani hiyo niitafute [emoji23][emoji23][emoji23]Je yule mwenda zake alietuletea hadithi ya kwenye kitabu cha watu wakulungwa wa bara wakaja kukiweka kitabu kizima humu mwamba akaenda zake mazima[emoji3][emoji3]
We wa kuhadithiwa ndio haujui,karibu field.Pia hajui kuwa waasi wanakodiwa na leo utamkuta bongo kesho burundi dunia uwanja wa vujo
sasa na hapa mdogo wake na konda msafi bwana Torque vs HP anasemaje?? 😀😀😀
Tulia wewe,umenogewa na hadithi?Oi mzee kausha basi, ushaona wadau hawapendezwi na comments zako haijalishi ni za kweli au uongo.
Kama unaona unaumia zaidi basi anzisha uzi wako na wewe ambao utaongelea hayo unayoyapinga then uattach humu tutausoma tu na sio kuharibu nyuzi za wenzio namna hii.
amesema kitu kama 98 hivi na 2000 ndio alikuwepo huko lakini hajasema dingi karudi mwaka gani..Muulize mtoa hadithi wenu anayesema eti jeshi liko kule kuanzia 2001 wkt huyu jamaa anasema dingi ake alikua huko 1998-2000
Hiyo ni tabia mbaya inaogopesha lakini hujifichi?Story nzuri na inaogopesha !endelea kutupa vitu mkuu
Naomba rama aletweKama bongo man unasimulia kwa mtiririko mtamu hivi, Rama je akisimulia itakuaje? Si atakua na mengi sana ya kusimulia
Aah najifichaje sasa humu mkuu?Hiyo ni tabia mbaya inaogopesha lakini hujifichi?