Maisha ndo haya haya, tuache majivuno

Kifupi, ntuchake bado ananzimikia mwamba..!!
 
Ila mimi huwa sina ROHO MBAYA kwenye mahusiano na ninamshukuru MWENYEZIMUNGU kwa jambo hilo. In'shallah 🙏🏾😂
 
Sasa unadhani huu ujumbe ulioupost hapa huyo Ex wako utamfikia? Kama kweli una nia ya kumsaidia kwanini usimtafute ili umsaidie, siku zote baya halilipwi kwa baya. kama una nia ya kumvusha hebu nenda kamasaidie achana na hizi porojo kwani yeye sio mtu wa kwanza kuanguka katika maisha.
 
Sawa ujumbe umefika lakini isiwe sababu ya kuombea na mabaya. Kuna mwamba ni tajiri mkubwa lakini ana roho mbaya hatari na ni tajiri toka enzi za Mwinyi mpaka leo.
Roho mbaya yake miaka yote hii ina sababu maalumu kiroho. Kupitia hali yake amini nakwambia, kuna wengi wanabarikiwa na wanamuombea baraka kwa Mwenyezimungu. Tuishi kwa kuangalia lipi unafanya jema kwako na jamii inayokuzunguka
 
Roho mbaya yake miaka yote hii ina sababu maalumu kiroho. Kupitia hali yake amini nakwambia, kuna wengi wanabarikiwa na wanamuombea baraka kwa Mwenyezimungu. Tuishi kwa kuangalia lipi unafanya jema kwako na jamii inayokuzunguka
Huyo mwamba ni tajiri mkubwa anaishi Mikocheni ana Maghorofa Masaki,Mbezi beach,Kariakoo na Kawe lakini hivi ninavyoongea mke wake iPhone yake imeharibika hapatikani WhatsApp,anatumia kitochi. Mke ni mama wa nyumbani na Mwamba amevunga hana habari ,Aisee mwamba ni katili hatari.
 
Yaonekana unamfahamu vizuri sana. Usikute pesa zake ni za masharti
 
Yaonekana unamfahamu vizuri sana. Usikute pesa zake ni za masharti
Mzee kazaa na Mnigeria na wanawake mbali mbali bongona nje ya bongo. Anakula Bata hatari. Mwamba anakula Bata sana hana pesa za masharti bwana. Uzuri mwamba anasomesha watoto wake wote habagui. Kwa password nilizotowa kuna watuwatakuwa wanamjua. Kualika watu dinner nyumbani kwake kawaida.Kuna dinner nilienda Christian Bella aliuwa anaimba live hapo kwake.
 
Nishamjua kitambo tu. Wacha ale maisha, alizipata na mirija inaendelea kuingiza . Heri yake na kizazi chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…