- Thread starter
- #81
Ila wanaume wa sasa wengi wao ni toxic!kuna msemo unasema "all women secretly love toxic men" hasa hawa mabinti wa 21-25
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanaume wa sasa wengi wao ni toxic!kuna msemo unasema "all women secretly love toxic men" hasa hawa mabinti wa 21-25
Nampenda kama binadamu mwezangu sio kimapenzi. Mapenzi yalishaishaga siku nyingiKitendo cha kumfatilia mambo yake tayari unaonyesha bado unamtaka, si ufanye yako umuache na ukata wake..!!
Dharau zake si umemtunzia??
Basi ukionana naye mpe
kICHAMBO HAKINA FOMULA..!!!Hivi nimemchamba? Basi ateme mate tumchape 😂
Hapana, mapenzi yaliisha zamani aliniumiza sanaIla kusema ukweli bado una mpenda
Kifupi, ntuchake bado ananzimikia mwamba..!!Sawa it's called a "Move on" kama hisia zimeshakata juu yake msahau kabisa au abaki kama rafiki ili uishi kwa amani. Keep talking negative about him implies that you still have some grudges over him.
Dunia ni kubwa na ina mambo mengi sana especially kwenye ulimwengu wa kimapenzi. Itategemea wewe upo tayari kuishi katika mambo gani miongoni mwa hayo mambo mengi. Karibu 🤝
Poleee jikaze yataisha 😂Nimepigika ndio maana nimekuwa mpole
Ila mimi huwa sina ROHO MBAYA kwenye mahusiano na ninamshukuru MWENYEZIMUNGU kwa jambo hilo. In'shallah 🙏🏾😂Leo nimepokea kwa masikitiko habari za kufulia kwa mkaka niliyewahi kuwa nae kwenye uhusiano kwa mda wa miaka 3. Nasikia amefulia ameuza kila alichokua nacho amebaki na komwe lake tu. Huyu kaka alininyanyasa sana kipindi ana vijipesa mi nikiwa kajamba nani. Alininyanyasa kisaikolojia kuna baadhi ya vitu nikikumbuka hadi leo nakua mnyonge.
Kuna siku nilimnunulia zawadi akaniuliza bei ya zawadi nilivyomwambia bei yake akanijibu i dont use cheap things keep it for yourself 🥲
Siku anaachana na mimi akaniambia relationship yetu illkuwa just for fun nothing was serious and it wasnt even a relationship it was a situationship 🥲 kumbuka hapo wakati anaongea haya tulikuwa pamoja kwa miaka 3. Halafu akaongeza nimekua nakuonesha signs zote za kutotaka kuendelea kuwa nawe lakini bado ukaendelea kuniganda. Naomba kuanzia leo usinitafute kwa namna yoyote ile its over!!
Katika maisha yangu yote hakuna kipindi moyo uliniuma kama siku ambayo alinitamkia maneno haya. Mungu si asumani sasa ivi amepigika maisha yanamnyoosha tu. Licha ya mambo yote aliyonifanyia nimesikitika sana. Mwanga wa Mungu umuangazie arudi katika hali yake ya zamani. Tuweni humble jamani maisha ndo haya haya tuache kudharau watu katika maisha haijalishi ni maisha ya kimapenzi au kikazi , hakuna mtu anayeijua kesho yake.
NB: Roby nitafute nikupe mchongo mi sina roho mbaya kama yako!
kivipBil
BilAshaka ni mtu wa kanda ya ziwa uyo
unipigie kweye ile ile nambaPoleee jikaze yataisha 😂
Sasa unadhani huu ujumbe ulioupost hapa huyo Ex wako utamfikia? Kama kweli una nia ya kumsaidia kwanini usimtafute ili umsaidie, siku zote baya halilipwi kwa baya. kama una nia ya kumvusha hebu nenda kamasaidie achana na hizi porojo kwani yeye sio mtu wa kwanza kuanguka katika maisha.Leo nimepokea kwa masikitiko habari za kufulia kwa mkaka niliyewahi kuwa nae kwenye uhusiano kwa mda wa miaka 3. Nasikia amefulia ameuza kila alichokua nacho amebaki na komwe lake tu. Huyu kaka alininyanyasa sana kipindi ana vijipesa mi nikiwa kajamba nani. Alininyanyasa kisaikolojia kuna baadhi ya vitu nikikumbuka hadi leo nakua mnyonge.
Kuna siku nilimnunulia zawadi akaniuliza bei ya zawadi nilivyomwambia bei yake akanijibu i dont use cheap things keep it for yourself 🥲
Siku anaachana na mimi akaniambia relationship yetu illkuwa just for fun nothing was serious and it wasnt even a relationship it was a situationship 🥲 kumbuka hapo wakati anaongea haya tulikuwa pamoja kwa miaka 3. Halafu akaongeza nimekua nakuonesha signs zote za kutotaka kuendelea kuwa nawe lakini bado ukaendelea kuniganda. Naomba kuanzia leo usinitafute kwa namna yoyote ile its over!!
Katika maisha yangu yote hakuna kipindi moyo uliniuma kama siku ambayo alinitamkia maneno haya. Mungu si asumani sasa ivi amepigika maisha yanamnyoosha tu. Licha ya mambo yote aliyonifanyia nimesikitika sana. Mwanga wa Mungu umuangazie arudi katika hali yake ya zamani. Tuweni humble jamani maisha ndo haya haya tuache kudharau watu katika maisha haijalishi ni maisha ya kimapenzi au kikazi , hakuna mtu anayeijua kesho yake.
NB: Roby nitafute nikupe mchongo mi sina roho mbaya kama yako!
Roho mbaya yake miaka yote hii ina sababu maalumu kiroho. Kupitia hali yake amini nakwambia, kuna wengi wanabarikiwa na wanamuombea baraka kwa Mwenyezimungu. Tuishi kwa kuangalia lipi unafanya jema kwako na jamii inayokuzungukaSawa ujumbe umefika lakini isiwe sababu ya kuombea na mabaya. Kuna mwamba ni tajiri mkubwa lakini ana roho mbaya hatari na ni tajiri toka enzi za Mwinyi mpaka leo.
Huyo mwamba ni tajiri mkubwa anaishi Mikocheni ana Maghorofa Masaki,Mbezi beach,Kariakoo na Kawe lakini hivi ninavyoongea mke wake iPhone yake imeharibika hapatikani WhatsApp,anatumia kitochi. Mke ni mama wa nyumbani na Mwamba amevunga hana habari ,Aisee mwamba ni katili hatari.Roho mbaya yake miaka yote hii ina sababu maalumu kiroho. Kupitia hali yake amini nakwambia, kuna wengi wanabarikiwa na wanamuombea baraka kwa Mwenyezimungu. Tuishi kwa kuangalia lipi unafanya jema kwako na jamii inayokuzunguka
Yaonekana unamfahamu vizuri sana. Usikute pesa zake ni za mashartiHuyo mwamba ni tajiri mkubwa anaishi Mikocheni ana Maghorofa Masaki,Mbezi beach,Kariakoo na Kawe lakini hivi ninavyoongea mke wake iPhone yake imeharibika hapatikani WhatsApp,anatumia kitochi. Mke ni mama wa nyumbani na Mwamba amevunga hana habari ,Aisee mwamba ni katili hatari.
Mzee kazaa na Mnigeria na wanawake mbali mbali bongona nje ya bongo. Anakula Bata hatari. Mwamba anakula Bata sana hana pesa za masharti bwana. Uzuri mwamba anasomesha watoto wake wote habagui. Kwa password nilizotowa kuna watuwatakuwa wanamjua. Kualika watu dinner nyumbani kwake kawaida.Kuna dinner nilienda Christian Bella aliuwa anaimba live hapo kwake.Yaonekana unamfahamu vizuri sana. Usikute pesa zake ni za masharti
Dada bado anaishi na kinyongo cha kuachikaUkiacha majivuno huwezi kufulia?
Kila mtu mwenye majivuno lazima afulie? I don't see the correlation.
Nishamjua kitambo tu. Wacha ale maisha, alizipata na mirija inaendelea kuingiza . Heri yake na kizazi chakeMzee kazaa na Mnigeria na wanawake mbali mbali bongona nje ya bongo. Anakula Bata hatari. Mwamba anakula Bata sana hana pesa za masharti bwana. Uzuri mwamba anasomesha watoto wake wote habagui. Kwa password nilizotowa kuna watuwatakuwa wanamjua. Kualika watu dinner nyumbani kwake kawaida.Kuna dinner nilienda Christian Bella aliuwa anaimba live hapo kwake.